LGE2024 Mtendaji kukimbia Kugawa au Kupokea Fomu za Wapinzani ni Ushamba wa mwaka 47 kabla Taifa la Israel halijaundwa!

LGE2024 Mtendaji kukimbia Kugawa au Kupokea Fomu za Wapinzani ni Ushamba wa mwaka 47 kabla Taifa la Israel halijaundwa!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Hao wamepokea maelekezo kutoka juu. Ukiwaita Washamba maana yake umewaita Washamba waliowatuma.
 
Taarifa haijakamilika maana mimi nimeona wapinzani wakichukua na kurejesha fomu bila tatizo.

Wewe kama binadamu huwezi kuona kote kila wakati.

Unasema je kuhusu hili?

"Mtendaji kukimbia Kugawa au Kupokea Fomu za Wapinzani ni Ushamba wa mwaka 47 kabla Taifa la Israel halijaundwa!"

Ni hilo tu ndugu mwana CCM.
 
Katika Dunia ya Leo Mtendaji anaogopa kugawa Fomu za uchaguzi Kwa Chadema?

Huu ni Upumbavu uliotukuka utakaosababisha Watanganyika waamini ni kweli Chadema ina Wanachama milioni 17

Inakera sana 😂
kujiepusha na uputoshaji ni hekima na busara ya kiwango cha juu sana kama mzalendo. :pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom