LGE2024 Mtendaji kukimbia Kugawa au Kupokea Fomu za Wapinzani ni Ushamba wa mwaka 47 kabla Taifa la Israel halijaundwa!

LGE2024 Mtendaji kukimbia Kugawa au Kupokea Fomu za Wapinzani ni Ushamba wa mwaka 47 kabla Taifa la Israel halijaundwa!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Katika Dunia ya Leo Mtendaji anaogopa kugawa Fomu za uchaguzi Kwa Chadema?

Huu ni Upumbavu uliotukuka utakaosababisha Watanganyika waamini ni kweli Chadema ina Wanachama milioni 17

Inakera sana 😂
nimesema mara nyingi ccm ilishajifia, chadema wanapambana na serikali kupitia watawala, chadema wamesimamisha wagombea karibu mitaa yote nchi nzima, maccm yanashangaa hivi kumbe chadema wapo kiasi hiki
 
Katika Dunia ya Leo Mtendaji anaogopa kugawa Fomu za uchaguzi Kwa Chadema?

Huu ni Upumbavu uliotukuka utakaosababisha Watanganyika waamini ni kweli Chadema ina Wanachama milioni 17

Inakera sana 😂
Huyo kapokea maelekezo....
 
Hata mie ningekua mtendaji ningejificha !unawapaje watu form watu wasiyojua kijiongeza wasyojua kuwa watashindana na hwawatoshindaaa
 
Back
Top Bottom