Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Yaan,.Katika Dunia ya Leo Mtendaji anaogopa kugawa Fomu za uchaguzi Kwa Chadema?
Huu ni Upumbavu uliotukuka utakaosababisha Watanganyika waamini ni kweli Chadema ina Wanachama milioni 17
Inakera sana π
Matusi ni Tabia ya Watu washamba waliotukukaAcha uzushi wa kingese, mmeharibu JF nyie mambwa.
hakuna haja kubabaika na upotoshaji gentleman, huna sifa huna sifa tuKwani Lucas Mwashambwa au Tlaatlaah nao wanasema je?
Hao ni washamba Wachache πSasa kwanini mnakimbia na form kama kweli hakuna upinzani?
wanatafuta huruma ambayo haiko na haina maana yoyote nyakati hizi,Taarifa haijakamilika maana mimi nimeona wapinzani wakichukua na kurejesha fomu bila tatizo.
Kamala Harris: Chawa ndio wanawaomgoza Viongozi wa Africawanatafuta huruma ambayo haiko na haina maana yoyote nyakati hizi,
hata hivyo kama mgombea hana sifa na vigezo stahiki vya kisheria, hawezi kuruhusiwa kuchukua formu ya kugombea.
ni matokeo ya kushupaza shingoKatika Dunia ya Leo Mtendaji anaogopa kugawa Fomu za uchaguzi Kwa Chadema?
Huu ni Upumbavu uliotukuka utakaosababisha Watanganyika waamini ni kweli Chadema ina Wanachama milioni 17
Inakera sana π
wajokoya: wapotoshaji wanawapotosha upinzani africaKamala Harris: Chawa ndio wanawaomgoza Viongozi wa Africa
Huu huu mnaotumia bunduki na mabomu kuudhibitiKwa upinzani UPI?
NI wengi snHao ni washamba Wachache π
Kwa ujumla CCM ilitakiwa kufutwa kabisa, ni chama cha kishetani. Ni chama.kilichojaa matendo ya giza na uchafu wa kila aina.Ccm uwezo wa kushindana kihalali umeshaisha.
Ukiona hivyo wameshanusa kuwa watashundwa na hayo ndiyo maagizo ya Mchengerwa kuwa pale wanapoona kuna ugumu watumie ile formula ya Fascist Magufuli.Kama kuna aliyefanya hivyo basi ni adui wa demokrasia. Wafuasi wa Mbowe wapewe fomu hata kama wanaenda kuangukia pua.
Wewe jamaa sometimes unaandikaga vya maana ukiamua kujitoa ufahamu unajitoa kweliKatika Dunia ya Leo Mtendaji anaogopa kugawa Fomu za uchaguzi Kwa Chadema?
Huu ni Upumbavu uliotukuka utakaosababisha Watanganyika waamini ni kweli Chadema ina Wanachama milioni 17
Inakera sana π
Huyo mtendaji ni masaburi! Stupidity!Katika Dunia ya Leo Mtendaji anaogopa kugawa Fomu za uchaguzi Kwa Chadema?
Huu ni Upumbavu uliotukuka utakaosababisha Watanganyika waamini ni kweli Chadema ina Wanachama milioni 17
Inakera sana π
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala kidhalimu. CCM haina tofauti kubwa na BokoharamKwa ujumla CCM ilitakiwa kufutwa kabisa, ni chama cha kishetani. Ni chama.kilichojaa matendo ya giza na uchafu wa kila aina.
Hayo mataahira ngoja yatakavyolipuka huko yaliko!Kwani Lucas Mwashambwa au Tlaatlaah nao wanasema je?
Sasa kama hakuna upinzani wanaogopa nini kugawa na kupokea fomu?Kwa upinzani UPI?