900 Itapendeza zaidi JF-Expert Member Joined Nov 19, 2017 Posts 7,704 Reaction score 9,186 Oct 30, 2024 #41 johnthebaptist said: Katika Dunia ya Leo Mtendaji anaogopa kugawa Fomu za uchaguzi Kwa Chadema? Huu ni Upumbavu uliotukuka utakaosababisha Watanganyika waamini ni kweli Chadema ina Wanachama milioni 17 Inakera sana π Click to expand... nimesema mara nyingi ccm ilishajifia, chadema wanapambana na serikali kupitia watawala, chadema wamesimamisha wagombea karibu mitaa yote nchi nzima, maccm yanashangaa hivi kumbe chadema wapo kiasi hiki
johnthebaptist said: Katika Dunia ya Leo Mtendaji anaogopa kugawa Fomu za uchaguzi Kwa Chadema? Huu ni Upumbavu uliotukuka utakaosababisha Watanganyika waamini ni kweli Chadema ina Wanachama milioni 17 Inakera sana π Click to expand... nimesema mara nyingi ccm ilishajifia, chadema wanapambana na serikali kupitia watawala, chadema wamesimamisha wagombea karibu mitaa yote nchi nzima, maccm yanashangaa hivi kumbe chadema wapo kiasi hiki
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 32,639 Reaction score 42,908 Oct 30, 2024 #42 johnthebaptist said: Katika Dunia ya Leo Mtendaji anaogopa kugawa Fomu za uchaguzi Kwa Chadema? Huu ni Upumbavu uliotukuka utakaosababisha Watanganyika waamini ni kweli Chadema ina Wanachama milioni 17 Inakera sana π Click to expand... Huyo kapokea maelekezo....
johnthebaptist said: Katika Dunia ya Leo Mtendaji anaogopa kugawa Fomu za uchaguzi Kwa Chadema? Huu ni Upumbavu uliotukuka utakaosababisha Watanganyika waamini ni kweli Chadema ina Wanachama milioni 17 Inakera sana π Click to expand... Huyo kapokea maelekezo....
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Oct 30, 2024 Thread starter #43 Proved said: Huyo kapokea maelekezo.... Click to expand... Kama umemsikiliza Askofu Dr Shoo utagundua huyo Mtendaji hajapokea maelekezo yoyote ni Chawa mshamba TU π
Proved said: Huyo kapokea maelekezo.... Click to expand... Kama umemsikiliza Askofu Dr Shoo utagundua huyo Mtendaji hajapokea maelekezo yoyote ni Chawa mshamba TU π
S sanya naibil Senior Member Joined Sep 9, 2024 Posts 122 Reaction score 151 Oct 30, 2024 #44 Hata mie ningekua mtendaji ningejificha !unawapaje watu form watu wasiyojua kijiongeza wasyojua kuwa watashindana na hwawatoshindaaa
Hata mie ningekua mtendaji ningejificha !unawapaje watu form watu wasiyojua kijiongeza wasyojua kuwa watashindana na hwawatoshindaaa