Mtendaji Mkuu wa Mahakama Elisante Ole Gabriel: Tutaweka mahakama ndani ya mabehewa ya SGR

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
83,659
Reaction score
90,151
Kind of nonsense 😔 😑
TANZANIA imejipanga kuja na huduma za mahakama kwa kutumia mabehewa ya Treni ya Kisasa (SGR) na huduma ya mahakama kwa njia ya ndege ili kuboresha usikilizaji kesi na utoaji haki kwa wakati.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Profesa Elisante Ole Gabriel amesema hayo leo Mei 21wakati akizungumza na waandishi wa habari katika mahakama mkoani Geita.

Screenshot 2025-05-21 190607.png
 
Aisee yani umeshindwa kukojoa usiku umelala ukaja kunya.
Mahakama ambazo upelelezi umaliziki si hiyo treni utashinda humo ya dar to dom na dom to dar hupo ndani ya treni ukisikia kesi imeharishwa
 
Kind of nonsense 😔 😑
TANZANIA imejipanga kuja na huduma za mahakama kwa kutumia mabehewa ya Treni ya Kisasa (SGR) na huduma ya mahakama kwa njia ya ndege ili kuboresha usikilizaji kesi na utoaji haki kwa wakati.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Profesa Elisante Ole Gabriel amesema hayo leo Mei 21wakati akizungumza na waandishi wa habari katika mahakama mkoani Geita.

Yuko sahihi kupunguza gharama
Mtu kutoka vijijini huko kwenda makao makuu ya mikoa wengi wananyimwa haki

Lakini nauli ya SGR ili kesi yake isikilizwe treni ikienda na kurudi kesi imesikilizwa nauli nfogo
 
Kila sehemu Kuna Sgr au siyo?
 
Kila sehemu Kuna Sgr au siyo?
Kwenye njia inakopita watu wa vijiji jirani na SGR waweza faidika

Huko kwingine mahakama zilishaanza kupeleka mahakama zinazotembea hufanya vikao kwenye magari yenye kumbi za mahakama za mahakama
 
🚮🚮
 
Punguzeni risk hizo ardhi tunayo kubwa mnatafuta risk za ajabu ajabu watu wanaona hakuna namna watumie usafiri wafike wanakokwenda ninyi ndio mnataka kutafuta matatizo vichwa vyenu sijui kama mmewaza vizuri aisee..
 
Back
Top Bottom