Una tatizo la ku-pass wind? Punguza kula mbaazi na kundeNadhani waboreshe kidogo waje na mahapkama kwa njia ya upumuaji.
Kind of nonsense 😔 😑
TANZANIA imejipanga kuja na huduma za mahakama kwa kutumia mabehewa ya Treni ya Kisasa (SGR) na huduma ya mahakama kwa njia ya ndege ili kuboresha usikilizaji kesi na utoaji haki kwa wakati.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Profesa Elisante Ole Gabriel amesema hayo leo Mei 21wakati akizungumza na waandishi wa habari katika mahakama mkoani Geita.
Nonsense always.Kind of nonsense 😔 😑
TANZANIA imejipanga kuja na huduma za mahakama kwa kutumia mabehewa ya Treni ya Kisasa (SGR) na huduma ya mahakama kwa njia ya ndege ili kuboresha usikilizaji kesi na utoaji haki kwa wakati.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Profesa Elisante Ole Gabriel amesema hayo leo Mei 21wakati akizungumza na waandishi wa habari katika mahakama mkoani Geita.
Kazi ya Mahakama ni kutoa nini Sasa kama sio Haki?Kwanini wasianze na kutoa haki kwanza! Hizo pesa za hii miradi ni wizi tu
Tuhakikishe kwanza haya majengo yaliyopo kwanza yanatoa haki kwauhakika tuhakikishe Mahakama zinafanya kazi kwa uhuru kama muhimili hizi mbwembwe zingine hazina tija kwa raiaKind of nonsense 😔 😑
TANZANIA imejipanga kuja na huduma za mahakama kwa kutumia mabehewa ya Treni ya Kisasa (SGR) na huduma ya mahakama kwa njia ya ndege ili kuboresha usikilizaji kesi na utoaji haki kwa wakati.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Profesa Elisante Ole Gabriel amesema hayo leo Mei 21wakati akizungumza na waandishi wa habari katika mahakama mkoani Geita.
Kazi ya Mahakama ni kutoa nini Sasa kama sio Haki?
No Sgr sio ndegeHivi mtu upo kwenye ndege unaweza kusikiliza kesi kweli 😂😂 tuache ujinga jinga
Landa mtoe huduma ya video za uchafu lakini pelekeni ndoto zenu huko.No Sgr sio ndege
Hizo mahakama zenu za SGR mtakapokutana na ndugu za walio tekwa kama akina Mdude mtawarudisha ndugu zao?kazi zenu sikuzote ni nonsense tu.Kind of nonsense 😔 😑
TANZANIA imejipanga kuja na huduma za mahakama kwa kutumia mabehewa ya Treni ya Kisasa (SGR) na huduma ya mahakama kwa njia ya ndege ili kuboresha usikilizaji kesi na utoaji haki kwa wakati.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Profesa Elisante Ole Gabriel amesema hayo leo Mei 21wakati akizungumza na waandishi wa habari katika mahakama mkoani Geita.
Hiyo mahakama ni mradi wa rostam azizi hiyo 😁😁😁😁😁😁😁😁kiongozi mpumbavu uchagua wapumbavu wenzie kuongozaKind of nonsense 😔 😑