ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Yuko sahihi kupunguza gharamaKind of nonsense ๐ ๐
TANZANIA imejipanga kuja na huduma za mahakama kwa kutumia mabehewa ya Treni ya Kisasa (SGR) na huduma ya mahakama kwa njia ya ndege ili kuboresha usikilizaji kesi na utoaji haki kwa wakati.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Profesa Elisante Ole Gabriel amesema hayo leo Mei 21wakati akizungumza na waandishi wa habari katika mahakama mkoani Geita.
Kila sehemu Kuna Sgr au siyo?Yuko sahihi kupunguza gharama
Mtu kutoka vijijini huko kwenda makao makuu ya mikoa wengi wananyimwa haki
Lakini nauli ya SGR ili kesi yake isikilizwe treni ikienda na kurudi kesi imesikilizwa nauli nfogo
Cheo chake kidogo sana kanisani ni kama mzee wa Kanisa ila kidogo juuMchungaji Gabriel bhana ๐
Hata muda pia utakuwa ni mdogo, itabidi treni ipinguzwe spidi ili Dodoma-Dar itembee siku nzima.Lakini nauli ya SGR ili kesi yake isikilizwe treni ikienda na kurudi kesi imesikilizwa nauli nfogo
Kwenye njia inakopita watu wa vijiji jirani na SGR waweza faidikaKila sehemu Kuna Sgr au siyo?
Atakuwa Askofu soonCheo chake kidogo sana kanisani ni kama mzee wa Kanisa ila kidogo juu
Sio lazima treni ikifika mwisho wa safari haigeuzi muda huo huo angalia ratiba ya treni ya TRCHata muda pia utakuwa ni mdogo, itabidi treni ipinguzwe spidi ili Dodoma-Dar itembee siku nzima.
๐ฎ๐ฎKwenye njia inakopita watu wa vijiji jirani na SGR waweza faidika
Huko kwingine mahakama zilishaanza kupeleka mahakama zinazotembea hufanya vikao kwenye magari yenye kumbi za mahakama za mahakama
Uaskofu mpaka apigiwe kura na awe na kanisa lake sio mchungaji MsaidiziAtakuwa Askofu soon
Endelea kukariri ๐Uaskofu mpaka apigiwe kura na awe na kanisa lake sio mchungaji Msaidizi
Hii ya kwenye nyumba tu inawatoa kamasi sembuse mobile!!Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Profesa Elisante Ole Gabriel amesema hayo leo Mei 21wakati akizungumza na waandishi wa habari katika mahakama mkoani Geita.