Mtendaji Mkuu wa Mahakama Elisante Ole Gabriel: Tutaweka mahakama ndani ya mabehewa ya SGR

Wamelewa hela za Benki ya Dunia.

Mpaka sasa wanashindwa kulipia umeme wa lifti za majengo yao, wanapanda kwa miguu.

Designing hai kuangalia kuweka solar panels kule juu ya paa, wameachia kunguru tu, hawavuni maji ya mvua.

Ngoja WB wamalize mkataba wao, tutakutana palee
 
Hao ndio watu Samia anapenda.

Check Tulia na mume wake wa EWURA,

Check huyu.

Wazir Salum sijui ana elimu gani?
 


Kwanini wasianze na kutoa haki kwanza! Hizo pesa za hii miradi ni wizi tu
 
Nonsense always.
 
Tuhakikishe kwanza haya majengo yaliyopo kwanza yanatoa haki kwauhakika tuhakikishe Mahakama zinafanya kazi kwa uhuru kama muhimili hizi mbwembwe zingine hazina tija kwa raia
 
Hizo mahakama zenu za SGR mtakapokutana na ndugu za walio tekwa kama akina Mdude mtawarudisha ndugu zao?kazi zenu sikuzote ni nonsense tu.
 
Hiyo mahakama ni mradi wa rostam azizi hiyo 😁😁😁😁😁😁😁😁kiongozi mpumbavu uchagua wapumbavu wenzie kuongoza
 
Wakuu,

Mtendaji Mkuu wa Mahakama nchini , Prof. Elisante Ole Gabriel amesema Serikali imekuja na dhana mpya ya kuweka Miundombinu mipya katika kuweka Mahakama ndani ya Mabehewa ya Treni ya Kisasa ya Mwendokasi (SGR ) ikiwa ni sehemu ya kuboresha Miundombinu hiyo ya Kimahakama hapa nchini.

Hayo ameyaeleza leo Mei 21 , 2025 Mkoani Geita ambapo amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imepiga hatua kubwa katika kukarabati na kujenga Mahakama mbalimbali hapa nchini ambapo kiasi cha Shilingi Bilioni 74 kilitengwa kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa mahakama hizo hapa nchini.

Your browser is not able to display this video.
 
sijaelewa Logic yake, wajisafishe kwanza wao wenyewe na akumbuke nafasi yake kwa jamii, yeye sio mtu wa Marketing wa SGR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…