johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kujitoa siyo suluhisho bwashee!Hata hivyo tunashukuru chadema wamejitoa Kwenye uhuni wa upigaji kura
suluhisho ni nini?Kujitoa siyo suluhisho bwashee!
Kupigania haki yako kama unaamini kuwa umedhulumiwa!suluhisho ni nini?
Hamna suluhisho, sio mahakamani, sio kuandamana wala sio umoja wa mataifa, bora amejitoa kuokoa gharama za pesa, muda na maisha ya watu.suluhisho ni nini?
Suluhisho ni nini?Kujitoa siyo suluhisho bwashee!
Kupigania haki yako kama unaamini kuwa umedhulumiwa!
Ukiwa mwanasiasa ni lazima uwe na ngozi ya chuma!Suluhisho ni nini?
Waresist ili mje na hoja ya waleta vurugu?
Walichokifikia mi nadhani ni wapo sahihi tuu ili Wenye mji wao wapite bila kupingwa kiulain zaid.
Hujaona mahindi yaliyofyekwa? Tusubiri wateule wakija majumbani mwetu. Mimi nimeshanoa panga nasubiri kikaragosi mlangoni mwangu.Kujitoa siyo suluhisho bwashee!
Ni wapi imeandikwa waziri hawezi kushtakiwa?Unapigania haki yako iwapo umedhulumiwa, je kwa mwenendo ambao anayevuruga huo uchaguzi hashitakiwi akiwa madarakani au ametoka unategemea nini?
Sheria inakusubiri ichukue mkondo wake!Hujaona mahindi yaliyofyekwa? Tusubiri wateule wakija majumbani mwetu. Mimi nimeshanoa panga nasubiri kikaragosi mlangoni mwangu.
Sawa nyinyi wenzetu ni Malaika wa shetaniMahindi gani? Unadangaywa na wewe unakubali kweli nyinyi ni nyumb!