PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Bora umeuliza Hilo swali!!!suluhisho ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora umeuliza Hilo swali!!!suluhisho ni nini?
Haina utofauti wowote.Lawama zote zinaenda kwako maana hueleweki.
Heading na content ni different
Mbona panga ninalo hapa nilipo sijaona hiyo sheria yako?Na sheria inakusubiri wewe na hilo panga lako!
Haina utofauti wowote.
Bwashee kaandika anagombea nafasi ya Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Mwembeni
Mtendaji amemwambia amekosea alipaswa kuandika anagombea nafasi ya Mwenyekiti wa mtaa wa Mwembeni.
Kinachobishaniwa hapo ni tofauti kati ya Mwenyekiti wa mtaa .....na Mwenyekiti wa serikali ya mtaa!
Uwe unaelewa!
Ndio alivyosema?Kwa hiyo huyo mgombea alikuwa hajui kama anakaa mwembeni
Kumbe na wewe ungegombea wangekukata tu una dalili zote!Mwenye jukumu la kuhakikisha ujumbe unaekeweka ni mtoa ujumbe na siyo mpokea ujumbe.
Mtoa ujumbe ni lazima uhakikishe unaondoa utata ili ueleweke.
Huwezi kumpa msomaji kazi ya kukudadavulia ulicholenga kumaanisha.
Kuandamana pekee ndio itakayoleta kuheshimiana, watu lazima wataumia lakini hilo halikwepeki. Kumbuka mtu hata kama humuwezi pigana naye atakuheshimu hata akikupiga.
Nini maoni yako Mkuu?Haina utofauti wowote.
Bwashee kaandika anagombea nafasi ya Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Mwembeni
Mtendaji amemwambia amekosea alipaswa kuandika anagombea nafasi ya Mwenyekiti wa mtaa wa Mwembeni.
Kinachobishaniwa hapo ni tofauti kati ya Mwenyekiti wa mtaa .....na Mwenyekiti wa serikali ya mtaa!
Uwe unaelewa!
Kuna dini zinaruhusu kudanganya ili kuepusha shari!Kuna watu watailisoma somo la haki kwa vitendo, haki haidhulumiwi, ogopa sana mtu akiumia kwa sababu ya haki yake
Hiyo ni mojawapo ya njia za kupigania haki.labda kama we kilazaKupigania haki yako kama unaamini kuwa umedhulumiwa!
Watendaji ni watumishi wa serikali hawana chama!Usicheke ndio chama chako hicho.tukigomea Uchaguzi mnaanza maneno.shenzi sana
Ondoa CUF hapo hawana ushawishi wowote lipumba kabaki kuangalia ligikuuu haana jipyaNasubiria na vyama vingine vyenye ushawishi kama Cuf, Act, Nccr, nk navyo kutangaza kujitoa ili ibakie Ccm yenyewe. Hii ndiyo njia pekee sahihi iliyobakia.
Nafikiri hii awkward means ya kubana matumizi ilifanywa Ikulu kwa kuita key players ma AT na WEO. Hiki kinachotokea si bahati mbaya bali ni nadharia ya mpango wa pamoja wa kuzuia uchaguzi.Hamna suluhisho, sio mahakamani, sio kuandamana wala sio umoja wa mataifa, bora amejitoa kuokoa gharama za pesa, muda na maisha ya watu.
Hakuna attempt unayoweza ifanya awamu hii wakakuruhusu uwashinde..
Mwenye idea atoe, mm naona zote ni impossible.