johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #61
Unapigania haki kwa kususa katika dunia ya leo bwashee?!!Hiyo ni mojawapo ya njia za kupigania haki.labda kama we kilaza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapigania haki kwa kususa katika dunia ya leo bwashee?!!Hiyo ni mojawapo ya njia za kupigania haki.labda kama we kilaza
wazo lako ni zuri sana tindo, kilichotokea ni aibu sana yani eti wao nchi nzima wasikosee? ila sasa kuhusu hilo wazo la kuandamana nani atathubutu kuanzisha hayo maandamano? wewe na mimi wenyewe ni majasiri hapa kwenye invisible, tofauti na hapo.
Nenda mahakamani si unao akina Kibatala!
Kumbe na wewe ungegombea wangekukata tu una dalili zote!
Kauli za kukata tamaa! Poor you!Hamna suluhisho, sio mahakamani, sio kuandamana wala sio umoja wa mataifa, bora amejitoa kuokoa gharama za pesa, muda na maisha ya watu.
Hakuna attempt unayoweza ifanya awamu hii wakakuruhusu uwashinde..
Mwenye idea atoe, mm naona zote ni impossible.
Unabii[emoji30][emoji30][emoji30] View attachment 1256900
Nasubiria na vyama vingine vyenye ushawishi kama Cuf, Act, Nccr, nk navyo kutangaza kujitoa ili ibakie Ccm yenyewe. Hii ndiyo njia pekee sahihi iliyobakia.
Kwanini?!Hao hawawezi
Waliowatuma kufanya huu usenge wana ulinzi 24/7 wao hawana.Kujitoa siyo suluhisho bwashee!
Unabii
Ili muwaue muongeze mayatima na wajane.Kupigania haki yako kama unaamini kuwa umedhulumiwa!
Unafanya mazoezi miaka yote, viwanja vyote vya mechi unamiliki wewe, umefanya usajili wa vipaji vyote vikubwa.
Refa, kamisaa, VAR na mashabiki wote ni wa kwako na wanakushangilia wewe, kwanini upige risasi za miguu wachezaji wa timu pinzani siku ya mechi inapokaribia?
😂😂😂😂😂😂Kupigania haki yako kama unaamini kuwa umedhulumiwa!
ABRACADABRA.Mmoja wa wagombea aliyekatwa ameelezwa na Mkuu wa Rufaa kwenye kata yake kuwa wamemuondoa kwa sababu kwenye fomu yake ameandika anagombea nafasi ya “Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mwembeni”.
Mtendaji kamwambia alipaswa kuandika anagombea nafasi ya “Mwenyekiti wa Mtaa wa Mwembeni”
Source: ITV habari
My take:
Nimebaki nacheka tu kwa mshangao!!!!
Hao wa Chama Chakavu wakikosea hupewa form Mpya wajaze vizuri.Utetezi wa Polepole ndiyo ujinga zaidi.
Et kuna wagombea wamekosea majina ya vijiji na mitaa wanayogombea!!
Kama vijiji vingekosa wagombea kabisa inge-make sense.
Yaani CCM nchi nzima akosekana popoma hata mmoja ila wapinzani tu?
Hizo semina za kufundisha wanaCCM kujaza form zilifanyikia wapi,mbona huku nilipo hazikufanyika?
Mambo mengine ni fedheha.
Hicho ndicho chama chako unachokipigania kila kukichaMmoja wa wagombea aliyekatwa ameelezwa na Mkuu wa Rufaa kwenye kata yake kuwa wamemuondoa kwa sababu kwenye fomu yake ameandika anagombea nafasi ya “Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mwembeni”.
Mtendaji kamwambia alipaswa kuandika anagombea nafasi ya “Mwenyekiti wa Mtaa wa Mwembeni”
Source: ITV habari
My take:
Nimebaki nacheka tu kwa mshangao!!!!