Mtendaji: Ulitakiwa uandike "Mgombea Mwenyekiti wa Mtaa wa Mwembeni" na siyo "Mgombea Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mwembeni"

wazo lako ni zuri sana tindo, kilichotokea ni aibu sana yani eti wao nchi nzima wasikosee? ila sasa kuhusu hilo wazo la kuandamana nani atathubutu kuanzisha hayo maandamano? wewe na mimi wenyewe ni majasiri hapa kwenye invisible, tofauti na hapo.

Mkuu kwa bahati mbaya hunijui, nina kovu hapa mguuni la maandamano, na sina wasi wasi wowote, lakini sio tuandamane kisha cdm watuletee wahuni aina ya kina Lowassa, Sumaye, Nyalandu nk kugombea uchaguzi.
 
Sasa nineamini, Magu.ni Muhutu! Anataka tuchome nyumba tufanane na kwa.babu zake!
 
Kauli za kukata tamaa! Poor you!
 
Hao hawawezi
Nasubiria na vyama vingine vyenye ushawishi kama Cuf, Act, Nccr, nk navyo kutangaza kujitoa ili ibakie Ccm yenyewe. Hii ndiyo njia pekee sahihi iliyobakia.
 

Ukizoea kula huwezi acha.
 
Kupigania haki yako kama unaamini kuwa umedhulumiwa!
😂😂😂😂😂😂
wapi huko mahakamani? umeisoma vizuri orodha ya wale majaji 12 wapya? ukiwajua wengi wao ni akina nani basi utajua kuwa hata mahakama zetu hazina uwezo wa kutoa haki.
 
ABRACADABRA.
Ukiwa hauna hoja unatunga hoja bila kufikiri na mdomo ambao bado unachanganya utaropoka bila kukijua ukiropokacho.
 
Mm nashindwa kuelewa maana ya kua na wasimamizi wa uchaguzi ni nn ama hao watendaji wanasimamia nn sasa maana hao ndo walitakiwa kuwapa elim wagombea wanapo chukua form ...Najilaumu hata kwa nn nilipoteza mda wangu kwenda kujiandikisha maana km watu wanashangilia mtu kufeli na tupo ktk kujenga demokrasia ni upuuzi
 
Hao wa Chama Chakavu wakikosea hupewa form Mpya wajaze vizuri.
 
Hicho ndicho chama chako unachokipigania kila kukicha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…