Mtetezi wa Kundi la LGBTQ auawa

Mtetezi wa Kundi la LGBTQ auawa

Dont judge. He couldnt help it just as you cant help it with your other vices
It wasnt him but the evil spirit in him. Those who killed him are also possessed by the evil spirit of hate and bloodshed.
Satan is the accuser. If you judge and accuse others you are possessed by satan
Get to know yourself and overcome the ego nature of the devil. Be an individual
Be still and you will know God.
 
Akili yako haina akili kabisa, ndio maana Mungu akaweka pepo kisha akaweka moto, atakae tii amri atapata pepo, na atakae fanya mambo mabaya atapata moto, kwahiyo kama jambo uislamu au dini yeyote imelikataza, halafu wewe ukafanya ilo sio kosa la UISLAMU , hayo ni matatizo yako na utachomwa mwenyewe, ila kwa wazungu kwao ushoga ni halali kabisa wanaume kupakuliwa mitaro, nyie wazungu wa Kenya imekuwaje tena mnauana
God doesnt burn people
 
Tofauti yao na hao wengine uliowataja ni kuwa, hili kundi la watu wanaotumia kiupotovu upinde wa mvua ambao aliuumba Mungu, wanajitangaza na kushawishi kila mmoja kujiunga na upotovu wao. Wangejuwa watulia kama walivyotulia wachawi, wezi, majambazi n.k. hamna ambaye angewajali. Lakini kitendo cha kufanya hata wengine walazimishwe kwenye upotovu ndiyo shida inapoanzia. Pia la kujitwalia upinde wa mvua aliyouumba Mungu kama utambulisho wao binafsi siji kuwasamehe. Natamani kuwamaliza ilanakosa uwezo.
Dont hate. Forgive and you will know God
 
Kwa hiyo kosa ni kuwa shoga au ni kujitangaza?. Mkuu Kuna watu wanatembea na wake/ waume za watu na wanajitangaza mitaani na jamii nzima tunawajaua, kwanini hatuwavamii na kuwaua?.

Mimi sitetei ushoga, ila ninapinga kitendo Cha kuwahukumu na kuwaua, ushoga umekataliwa zaidi na Imani za dini, hasa hizi dini za kigeni, mbona Qur'an ilikataza waislam kula nguruwe lakini waislam wengi tu wanakula kiti moto hadharani na hakuna mtu anawahukumu?. Tupunguzeni unafiki.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Uislam sio jina tu ni kutekeleza matendo na kuufuata barabara! Hali kadhalika ukristo ni hivyohivyo... wanaokula nguruwe na kujinadi wao ni waislam ni waislam jina tu kwa mfano kazaliwa na Baba muislam na Mama muislam, au Baba muislam mama tofauti na akaamua kuwa muislam au Baba dini ingine na Mama muislam akaamua kuwa muislam

Tuelewage... usihukumu wote kwa makosa ya wajinga wachache.

Mfano Rahisi wewe kusema ni Shabiki damu kindakindaki na huambiwi kitu kwa Yanga ila hata mlinda mlango humjui... utakuwa hujui unachoshabikia. Vilevile kwa anayejiita muislam ila kwenye 10 (kumi) mambo yake yote 9 (tisa) hayaendani na huo uislam.

Kumbuka:- mifano hiyo sio kwa uislam tu peke yake hata dini ingine au zingine kwa imani au nafasi yake.
 
Dont hate. Forgive and you will know God

Wangekuwa japo wana aibu kwa kufanya uchafu wao angalau wangesamehewa. Lkn kitendo cha kuonesha, kuhamasisha uovu wao ni kuwakosea (adabu) sana wengine.
 
Punguza ujinga kidogo, wangapi wanafanya ujinga zaidi ya huo katika jamii zetu, kwanini hawauliwi? Wangapi wanatembea na wake za watu? Wangapi wanasababisha vifo kwa uzembe wa madereva na madaktari na nurses?

Wacha kutuleta Mambo ya Imani yako na unataka kila mtua afuate vile unavyotaka wewe. Yeye amemkosea nani hapa duniani? Kama amemkosea Mungu, wacha Mungu atamuadhibu siku ya mwisho, Mambo mangapi tunamkosea Mungu kila siku, kwanini tusiuwawe?

Jaribu kuelimika kidogo na utoke huko uliko

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mkuu sikujua kumbe nawe ni choko
 
Suala sio kuhalalisha, issue ni wapi mnayafanya sana, tofauti yenu na wazungu ni kwamba wazungu wanafanya wazi bila kuficha, ila nyie huko Pwani na hata kule kwa waarabu wanayafanya sana kisiri, kwa sasa hivi ushoga umekua kitu cha mawaida maeneo yenu kuanzia Pemba, Mombasa na Pwani yote.... Watu mnafumuana kwenye mikanzu yenu hiyo https://www.rfi.fr/sw/eac/20170918-watu-20-wakamatwa-kwa-kushtumiwa-ushoga-zanzibar
Wanafanyia kwa Siri? Ngoja niishie hapa usijesema nimekutusi bure
 
Suala sio kuhalalisha, issue ni wapi mnayafanya sana, tofauti yenu na wazungu ni kwamba wazungu wanafanya wazi bila kuficha, ila nyie huko Pwani na hata kule kwa waarabu wanayafanya sana kisiri, kwa sasa hivi ushoga umekua kitu cha mawaida maeneo yenu kuanzia Pemba, Mombasa na Pwani yote.... Watu mnafumuana kwenye mikanzu yenu hiyo https://www.rfi.fr/sw/eac/20170918-watu-20-wakamatwa-kwa-kushtumiwa-ushoga-zanzibar
Wakati nyinyi mnafanya mpaka makanisani na aliyeshikwa ni mwenzenu kinyume chake unataja waislamu wa pwani. Eldoret ni mbali na Mombasa,
 
Mbona marehemu aliwahi kudai kwamba MK254 ndio alim-influence kwa hizo shughuli zake
 
Wakati nyinyi mnafanya mpaka makanisani na aliyeshikwa ni mwenzenu kinyume chake unataja waislamu wa pwani. Eldoret ni mbali na Mombasa,

Aliyeuawa kayajaribisha mikoni hayo mambo yenu ya huko Pemba na Mobasa Mombasa...
 
Mazungumzo yako tu yanaonyesha ni kiasi gani ulivyo "primitive". Hakuna kosa lolote hapa Duniani linalohalalisha "Extrajudicial killings". Mtu yeyote yule anayehalalisha Extrajudicial killings kwa sababu yoyote Ile, huyo ni very primitive, " hope you are one of them".

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Yes I'm primitive when comes the issue of shagas! I don't entertain those shitholes thinking!!
 
Back
Top Bottom