Twende pole pole. Kitu chochote kilicho kinyume na jamii fulani, kikifanywa hadharani na kuchagizwa ili kionekane ni cha kawaida, lazima jamii hiyo itatoa muitikio hasi. Na hilo si kwa hao tu, wengi ambao wanafanya mambo ambayo si sawa katika jamii mara nyingi baadhi ya wanajamii husika wanachukua maamuzi ya kuwahukumu isivyo kisheria. Au wengine huita kuchukua sheria mkononi.
joto la jiwe kwani wewe hujawahi sikia mzinzi na wake wa watu kuuliwa, wachawi je hujaonaa, wezi, vibaka, majambazi, n.k. hujawahi sikia wameuliwa? Shida ya hao ambao wengi tunapenda kuwa refer them as "less human than standard people", ni kwamba, wanapenda kuwalazimisha wengine wakubali mambo yao. Mpaka wanatumia sera zao kwa umakini ili kushinikiza nchi zingine, hususan nchi masikini ziungane katika upotofu wao. Hilo ndiyo jambo pekee ambalo walimwengu linawakera. wangekuwa wanafanya wenyewe isingekuwa shida, lkn kulazimisha mpaka kupora upinde wa mvua shida sana.