God doesnt burn peopleAkili yako haina akili kabisa, ndio maana Mungu akaweka pepo kisha akaweka moto, atakae tii amri atapata pepo, na atakae fanya mambo mabaya atapata moto, kwahiyo kama jambo uislamu au dini yeyote imelikataza, halafu wewe ukafanya ilo sio kosa la UISLAMU , hayo ni matatizo yako na utachomwa mwenyewe, ila kwa wazungu kwao ushoga ni halali kabisa wanaume kupakuliwa mitaro, nyie wazungu wa Kenya imekuwaje tena mnauana
Dont hate. Forgive and you will know GodTofauti yao na hao wengine uliowataja ni kuwa, hili kundi la watu wanaotumia kiupotovu upinde wa mvua ambao aliuumba Mungu, wanajitangaza na kushawishi kila mmoja kujiunga na upotovu wao. Wangejuwa watulia kama walivyotulia wachawi, wezi, majambazi n.k. hamna ambaye angewajali. Lakini kitendo cha kufanya hata wengine walazimishwe kwenye upotovu ndiyo shida inapoanzia. Pia la kujitwalia upinde wa mvua aliyouumba Mungu kama utambulisho wao binafsi siji kuwasamehe. Natamani kuwamaliza ilanakosa uwezo.
Huko sahihi, ila kwasisi watu ambao tuna amini kwenye Quran na Biblia , moto upoGod doesnt burn people
Njoo nikufire mtoto mzuriSawa tu.
Kwahiyo wewe una uwezo wa kuwazuia watu wasifirwe?
Uislam sio jina tu ni kutekeleza matendo na kuufuata barabara! Hali kadhalika ukristo ni hivyohivyo... wanaokula nguruwe na kujinadi wao ni waislam ni waislam jina tu kwa mfano kazaliwa na Baba muislam na Mama muislam, au Baba muislam mama tofauti na akaamua kuwa muislam au Baba dini ingine na Mama muislam akaamua kuwa muislamKwa hiyo kosa ni kuwa shoga au ni kujitangaza?. Mkuu Kuna watu wanatembea na wake/ waume za watu na wanajitangaza mitaani na jamii nzima tunawajaua, kwanini hatuwavamii na kuwaua?.
Mimi sitetei ushoga, ila ninapinga kitendo Cha kuwahukumu na kuwaua, ushoga umekataliwa zaidi na Imani za dini, hasa hizi dini za kigeni, mbona Qur'an ilikataza waislam kula nguruwe lakini waislam wengi tu wanakula kiti moto hadharani na hakuna mtu anawahukumu?. Tupunguzeni unafiki.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Dont hate. Forgive and you will know God
Mimi nafira mabwabwa kama nyie.Njoo nikufire mtoto mzuri
Mkuu sikujua kumbe nawe ni chokoPunguza ujinga kidogo, wangapi wanafanya ujinga zaidi ya huo katika jamii zetu, kwanini hawauliwi? Wangapi wanatembea na wake za watu? Wangapi wanasababisha vifo kwa uzembe wa madereva na madaktari na nurses?
Wacha kutuleta Mambo ya Imani yako na unataka kila mtua afuate vile unavyotaka wewe. Yeye amemkosea nani hapa duniani? Kama amemkosea Mungu, wacha Mungu atamuadhibu siku ya mwisho, Mambo mangapi tunamkosea Mungu kila siku, kwanini tusiuwawe?
Jaribu kuelimika kidogo na utoke huko uliko
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wanafanyia kwa Siri? Ngoja niishie hapa usijesema nimekutusi bureSuala sio kuhalalisha, issue ni wapi mnayafanya sana, tofauti yenu na wazungu ni kwamba wazungu wanafanya wazi bila kuficha, ila nyie huko Pwani na hata kule kwa waarabu wanayafanya sana kisiri, kwa sasa hivi ushoga umekua kitu cha mawaida maeneo yenu kuanzia Pemba, Mombasa na Pwani yote.... Watu mnafumuana kwenye mikanzu yenu hiyo https://www.rfi.fr/sw/eac/20170918-watu-20-wakamatwa-kwa-kushtumiwa-ushoga-zanzibar
Wakati nyinyi mnafanya mpaka makanisani na aliyeshikwa ni mwenzenu kinyume chake unataja waislamu wa pwani. Eldoret ni mbali na Mombasa,Suala sio kuhalalisha, issue ni wapi mnayafanya sana, tofauti yenu na wazungu ni kwamba wazungu wanafanya wazi bila kuficha, ila nyie huko Pwani na hata kule kwa waarabu wanayafanya sana kisiri, kwa sasa hivi ushoga umekua kitu cha mawaida maeneo yenu kuanzia Pemba, Mombasa na Pwani yote.... Watu mnafumuana kwenye mikanzu yenu hiyo https://www.rfi.fr/sw/eac/20170918-watu-20-wakamatwa-kwa-kushtumiwa-ushoga-zanzibar
Ngoja waje kukupa muongozoMwanaume unawezaje kudinda kwa mwanaume mwenzako
Huwa wanameza vidonge vya ujasiriMkuu hata mimi huwa siwashangai sana hawa
Huwa najiuliza hao wanaowabandua huwa wanapata huo ujasiri?
Wanafanyia kwa Siri? Ngoja niishie hapa usijesema nimekutusi bure
Wakati nyinyi mnafanya mpaka makanisani na aliyeshikwa ni mwenzenu kinyume chake unataja waislamu wa pwani. Eldoret ni mbali na Mombasa,
Temeke na sinza wapo kibao.Usiseme Dar sema magomeni, kinondoni Sinza na mwananyamala walipojaa [emoji916]
Ndio hukohuko mkuu sisi wa Mbezi hadi kiluvya tumejitoa hatupo Dar yao😎Temeke na sinza wapo kibao.
Yes I'm primitive when comes the issue of shagas! I don't entertain those shitholes thinking!!Mazungumzo yako tu yanaonyesha ni kiasi gani ulivyo "primitive". Hakuna kosa lolote hapa Duniani linalohalalisha "Extrajudicial killings". Mtu yeyote yule anayehalalisha Extrajudicial killings kwa sababu yoyote Ile, huyo ni very primitive, " hope you are one of them".
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app