Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Kuna jambo sijafurahishwa kama Mwananchi na Mlipa Kodi...; Jana Rais ni kama ametoa excuse ya hii Crisis Kwamba hakuna Mvua na wanafanya maintenance - Hapo ni kama anawatetea watendaji na kuwapa go-ahead ya muendelezo wa kuwa mediocre....
Ningeona la maana kama angetoa maelezo kwamba hii hali lazima iishe kama kuna anayeweza achukue kazi asiyeweza basi asichukue na kama hakuna anayeweza basi tutafute mtu kutoka hata kwa wananchi na kuvunja hata Wizara (sababu hawana tofauti na sisi wa kitaa tusioweza)
Cha ajabu anamsifia mmoja ua aliyetoka kwamba alifanya kazi nzuri (sasa unamtoa wa nini)? na kwa hi so called Kazi nzuri tuombe asije akaipeleka kule alipokwenda sababu kwa mtizamo wangu hiki alichofanya huku Hakiridhishi....
Naona kama kinachofanyika badala ya kumtetea mwananchi wanateteana wenyewe na kuleta propaganda; ifike wakati wapimwe kwa results (kama aliyetoka alikuwa hafanyi maintance na hali ikawa nzuri basi na wao wasifanye - watafute mchawi wake aliyemwezesha mambo kwenda bila maintenance)