Mti wa babu wa loliondo bado hujastawi??

Mti wa babu wa loliondo bado hujastawi??

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Nasikia alisitisha zoezi baada ya ule mti wake kukauka au kwisha,sasa ningependa kujua
1.bado tu haujaota tenaa??
2.Na saizi ana deal gani??
3.kuna mtu mwenye namba zake nataka anifundishe ujasiri kama wake wa kuwaibia watu huku anasimamiwa na polisi
4. nataka kujua wangapi walipata huduma yake humu jamvini????? {hahahahhaha najua swali hili hapa halina jibu}
Angejaribu kufatilia msimu huu wa covid
 
babu ndiye msomi wa kweli kweli,
nani msomi mwingine kama yeye. big up babu.
 
na wale wakina mama,bibi waliooteshwa wameishia wapi?kweli hizi siku za mwisho,napendekeza babu afungwe kwa kuuwa kwa kukusudia
 
Ina maana MUNGU mti wake anaoutegemea ili watu wapone,UMEKWISHA? Mzee wa LOLIONDO amemtukana Mungu na kumsindika kwa Uongo kama Baba yake Shetani alivyo.
 
Nasikia alisitisha zoezi baada ya ule mti wake kukauka au kwisha,sasa ningependa kujua
1.bado tu haujaota tenaa??
2.Na saizi ana deal gani??
3.kuna mtu mwenye namba zake nataka anifundishe ujasiri kama wake wa kuwaibia watu huku anasimamiwa na polisi
4. nataka kujua wangapi walipata huduma yake humu jamvini????? {hahahahhaha najua swali hili hapa halina jibu}
Angejaribu kufatilia msimu huu wa covid
Hili bandiko limenistaajabisha!
2012 kulikuwa na Covid!
 
Back
Top Bottom