Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njia ya Kwanza: Kupanga Uzazi Unaweza kutumia mbegu ya mnyonyo 1 kwa ajili ya kuzuia mimba kwa mudaJamani naomba kujua faida za mti huu maana nasikia unatumika kwa uzazi Wa mpango na nisumu (mzizi mkavu)msaada kaka
Good-explained.
Ni dawa ya kufungua tumbo, unachemsha hizo mbegu utapata mafuta, kijiko kidogo tu cha mafuta unakunywa na tumbo linafungua