Mti wa Mbarika(mnyonyo)

Mti wa Mbarika(mnyonyo)

topr

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
700
Reaction score
654
Jamani naomba kujua faida za mti huu maana nasikia unatumika kwa uzazi Wa mpango na nisumu (mzizi mkavu)msaada kaka
 
Jamani naomba kujua faida za mti huu maana nasikia unatumika kwa uzazi Wa mpango na nisumu (mzizi mkavu)msaada kaka
Njia ya Kwanza: Kupanga Uzazi Unaweza kutumia mbegu ya mnyonyo 1 kwa ajili ya kuzuia mimba kwa muda

wa mwezi mmoja . Unafanya hivi unapo maliza siku zako za hedhi ukisha oga kuwa msafi twanga

mbegu 1 ya mnyonyo kisha unywe na maji utaweza kuzuia mimba isiweze kukuingia kwa muda

wa mwezi mmoja utakuwa unafanya hivyo kila mwezi unapokuwa upo msafi. Tafadhali usile

mbegu ya mnyonyo zaidi ya moja ni sumu unaweza kudhurika au kupoteza hata maisha yako.



Njia ya Pili: ya kupanga uzazi

kwani yana kiasi fulani cha sumu ya protini ijulikanayo kitaalamu kama ricin ambayo ikitumiwa kwa kiasi

kidogo huharibu utungo, huweza pia kutumiwa kama mafuta ya kupaka ama losheni katika sehemu za siri
 
Kikonyo Cha Mnyonyo Ni Dawa Ya Kwikwi,jaza Maji Baridi Ktk Kikonyo Kisha Mpe Mgonjwa Anywe Kila Baada Ya Dakika 3 Mpaka Kwiki iishe Na Pia Mizizi Yake Ukiiponda Na Kuichemsha Yafaa Kwa Kutibu Kisonono Na Kaswende,mizizi Yake Pia Mama Mjamzito Akiitafuna Yafaa Kwa Kutoa Mfuko Wa Uzazi Kondo La Nyuma Kwa Urahisi Na Salama Zaidi.
 
Back
Top Bottom