GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Shukran mkuu.mkungu ni mti wa asili kweli
huo mti haufai kabisa
unapukutisha majani sana
achana nao
Siyo wa nyumbani kiongozi, nilitaka kuuotesha eneo la kazi/biashara.kama una mpango wa kumpa adhabu mkeo kufagia wewe utafute tu
Una utani na mtoa hoja?
HahahahaUna utani na mtoa hoja?
Hujui mkungu umezaliwa wapi? Mdodoma nimepanda kwangu lakini naona bora ile miamvuli.Nimeambiwa ni mti wa asili unaofaa kwa kivuli. Sikukumbuki kama nimeshauona ulio mkubwa.
Kama kuna mtu mwenye picha ya mti mkubwa wa
Mkungu naomba aiweke hapa, na ya mti wa Mdodoma pia.
Ninataka kufanya maamuzi ya mti wa kupanda mahali fulani, MDODOMA au MKUNGU!
Naomba kuwasilisha🙏
Kama una kiwanja cha 15Ă—20 mkungu unaweza kukijaza kiwanja chote hicho namna unavyozagaza matawi yake.Nimeambiwa ni mti wa asili unaofaa kwa kivuli. Sikukumbuki kama nimeshauona ulio mkubwa.
Kama kuna mtu mwenye picha ya mti mkubwa wa
Mkungu naomba aiweke hapa, na ya mti wa Mdodoma pia.
Ninataka kufanya maamuzi ya mti wa kupanda mahali fulani, MDODOMA au MKUNGU!
Naomba kuwasilisha🙏
Nimeambiwa ni mti wa asili unaofaa kwa kivuli. Sikukumbuki kama nimeshauona ulio mkubwa.
Kama kuna mtu mwenye picha ya mti mkubwa wa
Mkungu naomba aiweke hapa, na ya mti wa Mdodoma pia.
Ninataka kufanya maamuzi ya mti wa kupanda mahali fulani, MDODOMA au MKUNGU!
Naomba kuwasilisha🙏
Mchongoma, mti wa miiba na uzio kwa ajili ya kivuli! Unaota, nini?Tafuta Mchongoma Mkuu
Labda nilishauona bila kuutambua kama ndiyo unaoitwa kwa jina hilo. Pengine mimi ninautambua kwa jina la Kilugha.duh! hauujui mkungu kweli wengine mnaishi ulaya!
Ndiyo huu? Mbona mzuri sana?