Mti wa Mkungu unafananaje?

Mti wa Mkungu unafananaje?

Gen Z hamjui hata mkungu? Karibu shule zote za Kayumba hapa Dar zilikuwa na mkungu.
 

Attachments

  • IMG_20240723_134323_538.jpg
    IMG_20240723_134323_538.jpg
    7.4 MB · Views: 2
  • IMG_20240723_134331_235.jpg
    IMG_20240723_134331_235.jpg
    7.1 MB · Views: 2
Nimeambiwa ni mti wa asili unaofaa kwa kivuli. Sikukumbuki kama nimeshauona ulio mkubwa.

Kama kuna mtu mwenye picha ya mti mkubwa wa
Mkungu naomba aiweke hapa, na ya mti wa Mdodoma pia.

Ninataka kufanya maamuzi ya mti wa kupanda mahali fulani, MDODOMA au MKUNGU!

Naomba kuwasilisha🙏
Panda Mdodoma,Mkungu unapukutisha sana majani...
 
Back
Top Bottom