GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
- #21
Asante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante
Mzuri sana, changamoto yake mizizi, na uchafu, pia uwe na eneo kubwaNdiyo huu? Mbona mzuri sana?
Shukran mkuu, ila tayari nina miharadali kadhaaView attachment 3049917
Panda hii na miharadali ina kivuli kizuri japo inachafua kweli
Panda Mdodoma,Mkungu unapukutisha sana majani...Nimeambiwa ni mti wa asili unaofaa kwa kivuli. Sikukumbuki kama nimeshauona ulio mkubwa.
Kama kuna mtu mwenye picha ya mti mkubwa wa
Mkungu naomba aiweke hapa, na ya mti wa Mdodoma pia.
Ninataka kufanya maamuzi ya mti wa kupanda mahali fulani, MDODOMA au MKUNGU!
Naomba kuwasilisha🙏