GE2025 Mtia nia CCM Meatu anavyogawa pesa kwa wajumbe, tumelalamika hatusikilizwi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Acha wananchi wale pesa yao ,kodi zao zinarudi sasa kwa mgongo wa nyuma ,mwaka huu hakuna uchaguzi asema Bwana
 
Wewe jamaa...😀😀😆😃😂😅😀😃😄😆😅
Uongo mkuu? rushwa nje nje kwenye huu uchafuzi wa CCM hakuna hata mgombea mmoja kakamatwa, lakini VEO akiimba simenti au mchango elfu 10 lazima afikishwe mahakamani, bahati nzuri watumishi wa umma nao wamekuwa wajanja haswa wanawaroga kupita kiasi wengi ni machizi chizi tupu
 
Ubunge ni biashara kama biashara zingine..
 
😂😂😂 kubabakee diwani anawakadria wananchi et laki 4 inawatoshaaa hv diwan anahs jambo akitoa ntingi zakupewa yeye ztapungua
 
Sa
Saaa humu ndio kamati ya nidhamu ya Chama ilipo?
 
Havituhusu, uwaneni tu nzi wa kijani nyie.
 
Mimi nilifikiri unalalamika kuwa aligawa kidogo mno.
 
Hiyo ndio CCM halisi ilivyo.
Si ajabu wewe mtoa taarifa ukachukuliwa hatua kali ikiwemo "tiba ya Kitanzania"!
CCM ni mhimili wa uovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…