GE2025 Mtia nia CCM Meatu anavyogawa pesa kwa wajumbe, tumelalamika hatusikilizwi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huwezi kushinda Ubunge ccm bila rushwa, Labda uwaloge wagombea wengine, uwatishe ama uwauwe
 
Mmelalamika kwann wakat hiyo ni jadi!! Hakuna kipya hapo huo ndio utaratibu wao
 
Hahahaaaaa!swali safi kabisa,maana hata kuja mtandaoni kulalamika ni kosa kabisa alitakiwa ufuate utaratibu wa chama uliowekwa.

Ndiyo Baba Mtumishi, ila Nina wazo Baba Mtumishi, waombeeni sana wana kwaya wenu walioolewa, wanakulana sana humo humo, inaharibu ibada sana katika ulimwengu wa roho
 
Ila tukumbuke 2020 kwenye kura za maoni aliangushwa na hawara yake! Na safari hii yumo sijui itakuwaje!
Hawara yake hana nguvu hiyo......
2020 aliundiwa kikosi kazi na ma don na mbele akawekwa huyo hawara.
Hawara si hawara maana huyo ni mzee wa hit and run hana Kambi rasmi.
Kajipanga vizuri mno na ana watu huko vijijini kiasi kwamba hata bila pesa anapita.
Huyo kaanza kununua pamba vijijini kitambo nadhani kuanzia miaka ya 1990 na anajulikana.... Huyo atapita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…