Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
BroKoo kubwa maeneo hayo ni Kimambo then Kisanga, macha nk
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Jombaa tulia basi mbona unajisifia mwenyewe aiseh πππJamaa hanifikii kwa UHB hata robo aisee.. ila daah!
Wa kujichanganya hao ndio hawaelewi kabisa wanataka nini
Mkuu naona imebidi umfokee tu hakuna namna[emoji23][emoji23]Jombaa tulia basi mbona unajisifia mwenyewe aiseh [emoji38][emoji38][emoji38]
Jitahidi kujichanganya tu huko huko
Aliumwa nini?
Naona mnaichakachua mada kisela..Mbona na mie ni HB sipati kabisa na hela ya IST ipo ... na nilishwa achwa wanaaamke hawajui watakacho yaanii ππππππ
Terms and Conditions....Siasa zinaua sana.
RIPHakika Mola ndiye ambaye alitoa na pia ndiye ambaye amemtwaa mja wake. Jina la BWANA likapate siku zote kuhidimiwa. Amina.
[emoji120]
Wapi? Mkoa wa Rukwa?Kisanga kanifundisha Geography
Nimesikia kesho j5 anaagwa uwanjani sheikh amir abeid arusha,naskia alivaa fuso eneo la kisasa