Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
BroKoo kubwa maeneo hayo ni Kimambo then Kisanga, macha nk
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kisanga is bigger than Kimambo in Mbokomu...
Labda unasemea other areas!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BroKoo kubwa maeneo hayo ni Kimambo then Kisanga, macha nk
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Jombaa tulia basi mbona unajisifia mwenyewe aiseh 😆😆😆Jamaa hanifikii kwa UHB hata robo aisee.. ila daah!
Wa kujichanganya hao ndio hawaelewi kabisa wanataka nini
Mkuu naona imebidi umfokee tu hakuna namna[emoji23][emoji23]Jombaa tulia basi mbona unajisifia mwenyewe aiseh [emoji38][emoji38][emoji38]
Jitahidi kujichanganya tu huko huko
Aliumwa nini?
Naona mnaichakachua mada kisela..Mbona na mie ni HB sipati kabisa na hela ya IST ipo ... na nilishwa achwa wanaaamke hawajui watakacho yaanii 😀😀😀😀😀😀
Terms and Conditions....Siasa zinaua sana.
RIPHakika Mola ndiye ambaye alitoa na pia ndiye ambaye amemtwaa mja wake. Jina la BWANA likapate siku zote kuhidimiwa. Amina.
[emoji120]
Wapi? Mkoa wa Rukwa?Kisanga kanifundisha Geography
Nimesikia kesho j5 anaagwa uwanjani sheikh amir abeid arusha,naskia alivaa fuso eneo la kisasa