TANZIA Mtia nia wa Ubunge Moshi Vijijini, Dkt. Donald Kisanga afariki dunia baada ya kupata ajali ya gari Dodoma

TANZIA Mtia nia wa Ubunge Moshi Vijijini, Dkt. Donald Kisanga afariki dunia baada ya kupata ajali ya gari Dodoma

Mungu asaidie yasitokee kama ya mwaka 2015, wanasiasa walikufa balaa. Ndege/helicopter zilidondoka. Ajabu baada ya uchaguzi yale matukio yalipungua
 
I would like to express my sincerest condolences on the passing of your loving CCM member
Dr Donald Kisanga.

May God bless and comfort CCM Chairman, members and Kisangas’family.

With love and sympathy,

Gerald M Magembe
 
Nimesikia kesho j5 anaagwa uwanjani sheikh amir abeid arusha,naskia alivaa fuso eneo la kisasa

So sad, ameagwa muda mfupi uliopita ktk viwanja vya Makumbusho, Arusha. Maziko ni kesho Alhamis kijijini kwao Moshi.
 
Shetani mshamba sana....akiamua juu yako kama huna ulinzi wa Mungu ndo bhasi tena....tuweni na ulinzi wa Mungu ndo ulinzi wenye uhakika tuachane na waganga wa bagamoyo
 
Back
Top Bottom