TANZIA Mtia nia wa Ubunge Moshi Vijijini, Dkt. Donald Kisanga afariki dunia baada ya kupata ajali ya gari Dodoma

Very Sad. Ana Sura kama ya Dr Kisanga Mtalaamu wa Magonjwa ya Figo Muhimbili. Daaah Sijui ni Mwamaee!!? RIP Kijana Doctor.
 
Mambo yameanza!
Polen familia ya mzee Kisanga.
 
The work of his village people. Rip to him
 
Hizi ajali hizi kila siku Ndiyo huo Wimbo Unaimbwa 🤦🏿‍♂️ suluhisho Ndio hakuna ??
 
Hii habari imenistua sana! Nilijua ni Kisanga wa UDSM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…