Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Mtaa sio kwaya amesema mtaa usichanganye mafaili hapoInaenda kanisani kwa ajili ya kwaya?
Niwakirishe kwa niabaHabari za Sabato!
Leo nitakuwa Kanisa la Wasabato Manzese. Huko natarajia kubarikiwa Sana.
Ninaupenda mtaa wa Manzese kwa sababu umebarikiwa Kwaya kubwa Mashuhuri hapa nchini. Kwaya ya Mbiu, na Kwaya ya Angaza, na Kwaya ya Sauti ya Nyikani.
Tujumuike sote tukabarikiwe.
Happy Sabbath .....Habari za Sabato!
Leo nitakuwa Kanisa la Wasabato Manzese. Huko natarajia kubarikiwa Sana.
Ninaupenda mtaa wa Manzese kwa sababu umebarikiwa Kwaya kubwa Mashuhuri hapa nchini. Kwaya ya Mbiu, na Kwaya ya Angaza, na Kwaya ya Sauti ya Nyikani.
Tujumuike sote tukabarikiwe.
Niwakirishe kwa niaba
Happy Sabbath .....
Inaenda kanisani kwa ajili ya kwaya?
Uangalie usichuliwe na wakina mafwele
Happy sabbath!
Mkuu bado nasubiri unijuze maana ya Mtibeli / Watibeli, ni watu wa wapi kieneo na kihistoriaHabari za Sabato!
Leo nitakuwa Kanisa la Wasabato Manzese. Huko natarajia kubarikiwa Sana.
Ninaupenda mtaa wa Manzese kwa sababu umebarikiwa Kwaya kubwa Mashuhuri hapa nchini. Kwaya ya Mbiu, na Kwaya ya Angaza, na Kwaya ya Sauti ya Nyikani.
Tujumuike sote tukabarikiwe.
Kwa ajili ya MakambiInaenda kanisani kwa ajili ya kwaya?
Mkuu bado nasubiri unijuze maana ya Mtibeli / Watibeli, ni watu wa wapi kieneo na kihistoria
Kwa ajili ya wanakwaya wa kikeInaenda kanisani kwa ajili ya kwaya?
Hakuna mtaa ambao haujamaliza makambi hadi sasaKwa ajili ya Makambi
Wasabato dhehebu langu la kurithi, nilikuja kuacha kwenda Sabato mara baada ya kuona Usababto umejaa usanii tupu. Ni mara 100 nisali Roman ambao wanasimama na Jamaa kuliko Wasababto ambai daily kwanza wanapambana na Roman na pia huwezi wasikia wanakemea maovu wao kutwa nzima ni Katoliki au Badi kumuongelea Mwasisi wa SDA Elen G WhiteHabari za Sabato!
Leo nitakuwa Kanisa la Wasabato Manzese. Huko natarajia kubarikiwa Sana.
Ninaupenda mtaa wa Manzese kwa sababu umebarikiwa Kwaya kubwa Mashuhuri hapa nchini. Kwaya ya Mbiu, na Kwaya ya Angaza, na Kwaya ya Sauti ya Nyikani.
Tujumuike sote tukabarikiwe.
Kwamba kupika siku ya Sabato ni kufanya kazi?!Ndio nakula makande yangu hapa Mkuu