Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,697
- 15,497
Kuhusu nyota ing'aayo na kupaa?Nitaandika uzi huo Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhusu nyota ing'aayo na kupaa?Nitaandika uzi huo Mkuu.
yes, ila sasa hata kutembea umbali mrefu kwenda kusali nayo ni kazi pia na ni kosa, Tunaambiwa tusinunue wala kuuza siku ya Sabato ila tunapanda Dalalada kwenda Kanisani, na zile Amri 10 hazijatoa maelezo zaidiKwamba kupika siku ya Sabato ni kufanya kazi?!
Makande asubuhi hii mkuu?Ndio nakula makande yangu hapa Mkuu
Ndio zenu mtani😁Makande asubuhi hii mkuu?
Aaah mtani ni asubuhi sana kula makande, hata hivyo nimeyamiss sana🤣🤣🤣Ndio zenu mtani😁
Ubyaa ubwelaaHabari za Sabato!
Leo nitakuwa Kanisa la Wasabato Manzese. Huko natarajia kubarikiwa Sana.
Ninaupenda mtaa wa Manzese kwa sababu umebarikiwa Kwaya kubwa Mashuhuri hapa nchini. Kwaya ya Mbiu, na Kwaya ya Angaza, na Kwaya ya Sauti ya Nyikani.
Tujumuike sote tukabarikiwe.
Kuna siku nilikula makande nikajikuta nakula masaa matatu ,hayashibishi kabisa yale mahindi na maharage 🤣🤣🤣Aaah mtani ni asubuhi sana kula makande, hata hivyo nimeyamiss sana🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣Kuna siku nilikula makande nikajikuta nakula masaa matatu ,hayashibishi kabisa yale mahindi na maharage 🤣🤣🤣
hongera sana mkuu kwa kweli wasabato wanajua kuimba lakini nina ujumbe kwakoHabari za Sabato!