Mtibwa Sugar 0-0 Simba SC | Ligi kuu Bara| Manungu Morogoro

Simba itashinda na aibu zitakuwa juu ya TFF na haters
kweli hongereni kwa ushindi
FB_IMG_16425244990821297.jpg
 
Hakuna haja ya kupambabana na TFF kijinga namna hii.Hao ni mtu mmoja mmoja,kuna mbinu nyingi sana za kuwabomoa mmoja baada ya mwingine.
Ili wapambane na Simba,wajihakikishe ni wasafi mno,maana tumeanza kuchukua madodoso kidogo kidogo,watanaswa na tundu bovu
Mlitaka TFF wapige simu ili mpate penalty ?
 
Mi nilisema na nasema tena.
Mechi za Simba akianza tu Mugalu hakuna Ushindi.
Mugalu ni kama ana mkosi hapo Simba.
Kama mnanibishia subirini mechi nyingine atakayo anza.

Chukueni hii meseji.
Na nitawakumbusha nikimwona tu ktk Kikosi kinachoa anza.
 
"Cheza na kitu nyingine yoyote ila sio Pablo " in Ndugai's voice

cc GENTAMYCINE
Kaa tayari kuna Uzi Mmoja nakuja nao muda si mrefu ambao ni Ukweli Mchungu kwa wana Simba SC ambako nitatoa yangu ya Moyoni na Kujiuzuru rasmi Kuipigania Simba SC hapa JamiiForums.

Kwani naona kila Siku naumia tu Moyo ma Roho huku tukishauri lakini hawatuelewi na tunapuuzwa. Nasubiri Kwanza Hasira zangu za Kizanaki na Kimakuwa zipungue ili nije na Funga Kazi Thread yangu juu ya Upumbavu unaoendelea / uliopo Simba SC.

Nimechoka na sasa nitakuwa naifagilia tu Timu yangu pendwa ya Liverpool FC ya Ulaya nchini Uingereza. Leo ningekuwa Manungu ningemuwamba Makofi au hata Kumpiga Kichwa Kocha Pablo ili ningoe kabisa Meno yake ya Barazani ( Sebuleni ) kwani ni Mpuuzi sana na hakuna Kocha pale na yawezekana alikuwa akiifundisha Real Madrid ya Tandale Uzuri Dar es Salaam Tanzania.

Stay tuned Mkuu.....
 
We jamaa bhana.. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu inabidi simba wakukabidhi kitengo cha umafia maana ulisema hapa kuhusu uwanja na yamekua.
 
Back
Top Bottom