NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Apana mkuu nguvu ipo kubwa sana,kufungwa au kudraw ni sehemu ya soka.tatizo ni kwenye nguvu moja, imeisha imebaki nguvuless
Simba inatimu nzuri sana tena,ni kawaida ya Simba kusuasua mzunguko wa kwanza mwisho wa siku anabeba ubingwa.
Ligi bado mbichi sana.