Mtibwa Sugar 0-0 Simba SC | Ligi kuu Bara| Manungu Morogoro

Mtibwa Sugar 0-0 Simba SC | Ligi kuu Bara| Manungu Morogoro

tatizo ni kwenye nguvu moja, imeisha imebaki nguvuless
Apana mkuu nguvu ipo kubwa sana,kufungwa au kudraw ni sehemu ya soka.
Simba inatimu nzuri sana tena,ni kawaida ya Simba kusuasua mzunguko wa kwanza mwisho wa siku anabeba ubingwa.
Ligi bado mbichi sana.
 
Ule msemo unao sema aliye juu mngojee chini umesahaulika tangu ili poanza korona
 
Kabisa hata mimi naona mtakavyo shinda Manungu
joseph1989 Mimi ni mshabiki wa simba ila kuna wakati ushabiki naweka pembeni Huu uwanja unaafadhali kunasehemu unaweza kupiga pass kuliko uwanja wa sokoine aliyocheza leo Tanzania Prison vs Azam ambao hata kupiga kupiga pass huwezi kuna maeneo hata nyasi hazipo kiufupi ufai hata kuchezea pamoja na hizo changamoto lakini Azam kashinda goal 4
 
Simba hakuna team
Leo kocha wao kawaanzishia Mk14 na Mugalu, lakini wapi!! Morrison, Chama, Sakho! Waapi!! 😬😁😁 Mwisho wa siku lawama zote zimeenda Manungu Complex!!

Eti wamegoma mpaka kuongea na wadhamini wao (Azam Media) ili kutoa tathmini ya mchezo! 😬😬😬. Wakati fulani simba ikubaliane tu na ukweli. Mpira una matokeo matatu.
 
Leo kocha wao kawaanzishia Mk14 na Mugalu, lakini wapi!! Morrison, Chama, Sakho! Waapi!! 😬😁😁 Mwisho wa siku lawama zote zimeenda Manungu Complex!!

Eti wamegoma mpaka kuongea na wadhamini (Azam Media) kwa ajili ya kutoa tathmini ya mchezo! 😬😬😬
ahahaha

Wataisoma namba
 
Back
Top Bottom