ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
GSM kahusika aje tena mkuuSawa chawa wa gsm
kweli hongereni kwa ushindiSimba itashinda na aibu zitakuwa juu ya TFF na haters
Anausika vizuriii sana maana wao wanashauri tff since wanadhamini ligi so baadhi ya Mambo matokeo yake ndo uwanja wa kipuuzi ulio tumika leo lengo ni kuwapiga pini Simba wasipate motekeoGSM kahusika aje tena mkuu
Pole sana si mlisema mnajenga uwanja yako wapi?Anausika vizuriii sana maana wao wanashauri tff since wanadhamini ligi so baadhi ya Mambo matokeo yake ndo uwanja wa kipuuzi ulio tumika leo lengo ni kuwapiga pini Simba wasipate motekeo
Tulia upakatwe kijana inaonekana unahisi Kama ubingwa Umesha uchukua safari bado ni ndefuu tuliza mshonoPole sana si mlisema mnajenga uwanja yako wapi?
siku hata mkeo akizagamuliwa utasema GSM
Hahahaaa. lolPolisi wamkamate Pablo
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Goli litapatikana tu, iwe kwa penati, red card au kuongeza dk nyingi.
Acheni kujidanganya, kubalini kikosi hakipo sawa, fanyieni kazi changamoto then chezeni mpira.Anausika vizuriii sana maana wao wanashauri tff since wanadhamini ligi so baadhi ya Mambo matokeo yake ndo uwanja wa kipuuzi ulio tumika leo lengo ni kuwapiga pini Simba wasipate motekeo
Ndo mpira ulivyo mtani tumekubali matokeo japo kwa shingo upande.Sina budi kusema nyie ni vibogoyo.
Au mua mnatafuna mkiwa mnaondoka Manungu.Hahahaaaaa. Sitaki mie. lol
Mlitaka TFF wapige simu ili mpate penalty ?Hakuna haja ya kupambabana na TFF kijinga namna hii.Hao ni mtu mmoja mmoja,kuna mbinu nyingi sana za kuwabomoa mmoja baada ya mwingine.
Ili wapambane na Simba,wajihakikishe ni wasafi mno,maana tumeanza kuchukua madodoso kidogo kidogo,watanaswa na tundu bovu
Akikujibu nishtuekwani hii Yanga ni ya mwaka jana?
Kaa tayari kuna Uzi Mmoja nakuja nao muda si mrefu ambao ni Ukweli Mchungu kwa wana Simba SC ambako nitatoa yangu ya Moyoni na Kujiuzuru rasmi Kuipigania Simba SC hapa JamiiForums.
We jamaa bhana.. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kaa tayari kuna Uzi Mmoja nakuja nao muda si mrefu ambao ni Ukweli Mchungu kwa wana Simba SC ambako nitatoa yangu ya Moyoni na Kujiuzuru rasmi Kuipigania Simba SC hapa JamiiForums.
Kwani naona kila Siku naumia tu Moyo ma Roho huku tukishauri lakini hawatuelewi na tunapuuzwa. Nasubiri Kwanza Hasira zangu za Kizanaki na Kimakuwa zipungue ili nije na Funga Kazi Thread yangu juu ya Upumbavu unaoendelea / uliopo Simba SC.
Nimechoka na sasa nitakuwa naifagilia tu Timu yangu pendwa ya Liverpool FC ya Ulaya nchini Uingereza. Leo ningekuwa Manungu ningemuwamba Makofi au hata Kumpiga Kichwa Kocha Pablo ili ningoe kabisa Meno yake ya Barazani ( Sebuleni ) kwani ni Mpuuzi sana na hakuna Kocha pale na yawezekana alikuwa akiifundisha Real Madrid ya Tandale Uzuri Dar es Salaam Tanzania.
Stay tuned Mkuu.....
Mkuu inabidi simba wakukabidhi kitengo cha umafia maana ulisema hapa kuhusu uwanja na yamekua.Kaa tayari kuna Uzi Mmoja nakuja nao muda si mrefu ambao ni Ukweli Mchungu kwa wana Simba SC ambako nitatoa yangu ya Moyoni na Kujiuzuru rasmi Kuipigania Simba SC hapa JamiiForums.