Mtibwa Sugar 0-0 Simba SC | Ligi kuu Bara| Manungu Morogoro

Washabiki oya oya wanashida sana.
Simba imefanya vizuri karibu misimu minne sasa.
Kuteleza kidogo msimu huu kusiwavunje moyo kiasi mnataka kuihama timu.

Jambo la msingi ni kubaini tulipo teleza na kufanya marekebisho, natumaini Bodi ya Simba italifanyia kazi hili tatizo.

Tukubali tukatae msimu huu Simba haipo vizuri. Simba imekisa uwezo wa kutafuta goli na kulipata kwa timu za kawaida kabisa.
Ni kwamba hatuna mshambuliaji mahili na Bodi ya usajiri ya Simba haitilii maanani kusajiri washambuliaji badala yake wanasajiri wachezaji wa kati tu.
 
Bahati nzuri hii mechi wamecheza favorite players wa Simba wote hakuna kisingizio
 
Dooh sikuwa online Kwa siku kadhaa rafiki. We tamba tu kwasasa ipo siku yako
Hahahaaa. Sema ulikuwa unasikilizia maumivu bana (jokes)

Ooh! Usijali rafiki. Wacha nitambe huu msimu wetu yaani furaha mwanzo mwisho.
 
Hahahaaa. Sema ulikuwa unasikilizia maumivu bana (jokes)

Ooh! Usijali rafiki. Wacha nitambe huu msimu wetu yaani furaha mwanzo mwisho.
Yakigeuka msije anza kutafuta mchawi tu πŸ˜‚πŸ˜‚ mana tunawajua nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…