GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Acha yawapate tu Mkuu Pumbavu zao!!!Mkuu inabidi simba wakukabidhi kitengo cha umafia maana ulisema hapa kuhusu uwanja na yamekau.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha yawapate tu Mkuu Pumbavu zao!!!Mkuu inabidi simba wakukabidhi kitengo cha umafia maana ulisema hapa kuhusu uwanja na yamekau.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Binadamu tumeumbwa kusahau,sasa tukumbushane kidogo
Kila kinywa kitakiriHatuwezi kuishi kwa mambo ya mwaka jana. Simba hawezi kuwa bingwa
Kwani matokeo ni nini,kuna kushinda,kufungwa na drawAnausika vizuriii sana maana wao wanashauri tff since wanadhamini ligi so baadhi ya Mambo matokeo yake ndo uwanja wa kipuuzi ulio tumika leo lengo ni kuwapiga pini Simba wasipate motekeo
Duuuh hivi huu mwaka tumeshafika kweli mkuu angalia vizuri aisee sasa hivi tupo 2022Nimeanza kuishabikia Mtibwa sukari tangu mwaka 19962
Sasa wewe TOPOLO Chama anakuhusu nini?Chama tumepigwa waziwazi kabisa
Tatizo ni kufikiri kwamba hakuna timu zaidi yao inastahili kushinda. Upepo umebadilika, waliitumia sana tff na marefa misimu iliyopita.Acheni kujidanganya, kubalini kikosi hakipo sawa, fanyieni kazi changamoto then chezeni mpira.
Ewaaaaaa. Haya ndo maneno sasa.Ili kuondoa stress nakubali Utopolo mabingwa msimu huu.í ½í¸í ¾í´£
Hakuna namna mtani.😂😂Ewaaaaaa. Haya ndo maneno sasa.
Hahahaaa. Sema ulikuwa unasikilizia maumivu bana (jokes)Dooh sikuwa online Kwa siku kadhaa rafiki. We tamba tu kwasasa ipo siku yako
Yakigeuka msije anza kutafuta mchawi tu 😂😂 mana tunawajua nyie.Hahahaaa. Sema ulikuwa unasikilizia maumivu bana (jokes)
Ooh! Usijali rafiki. Wacha nitambe huu msimu wetu yaani furaha mwanzo mwisho.