Mtibwa Sugar 0-0 Simba SC | Ligi kuu Bara| Manungu Morogoro

Mara kwa mara, zinapocheza Simba au Yanga na timu zingine, basi tunapoletewa majina ya wachezaji watakao cheza, basi tunaletewa majina yao tu, na majina ya wapinzani wao hatuletewi. Nadhani hii sio sawa. Kwa vile zinacheza timu mbili, basi tuletewe majina ya timu zote, na hasa tukizingatia kuwa, nyuzi za kama huu, sio maalumu kwa ajili ya Simba tu, bali ni maalumu kwa mchezo wa Mtibwa na Simba.
 
Mtibwa msituangushe.
 
Wachezaji wa Mtibwa Sugar, mtendeeni haki Msemaji wenu Mkongwe kuliko wote nchini, Comrade Thobias Kifaru Ligalambwike! Apate cha kuongea jioni kwenye vipindi vya michezo.
 
Mkuu changamoto kubwa hizi timu ndogo wanachelewa sana kutoa vikosi vyao, tofauti na Simba au Yanga
 
Kwa vile ni tawi la Mikia hili naona ana uhakika wa kujizolea points 3 kisha wakata miwa wanaingia kwenye mstari wa danger
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…