Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara kwa mara, zinapocheza Simba au Yanga na timu zingine, basi tunapoletewa majina ya wachezaji watakao cheza, basi tunaletewa majina yao tu, na majina ya wapinzani wao hatuletewi. Nadhani hii sio sawa. Kwa vile zinacheza timu mbili, basi tuletewe majina ya timu zote, na hasa tukizingatia kuwa, nyuzi za kama huu, sio maalumu kwa ajili ya Simba tu, bali ni maalumu kwa mchezo wa Mtibwa na Simba.Simba SC Line UpView attachment 2091711
Mtibwa msituangushe.Sijajua Kwanini @Moderators Wameondoa Uzi wa Mwanzo, muwe munaweka na sababu za kuondoa Uzi
NBC Premier League leo Jumamosi. Baada ya kupita miaka zaidi ya 20, leo Mnyama Simba SC anarudi katika dimba la Manungu kucheza na Mtibwa Sugar, huku Kila upande ukitamba kuondoka na alama tatu.
Je ni Mtilwa Sugar au Simba SC kuondoka na alama tatu? majibu utayapata JF.
HEAD TO HEAD
Tokea mwaka 2016 Mtibwa sugar na simba wameshakutana mara 10, simba akishinda michezo 7 na sare 3, mtibwa hajawahi kumfunga Simba Sc tokea Mwaka 2016
UPDATE.
Katika ligi kuu Simba yupo nafasi ya pili akiwa na jumla ya alama 24 baada ya kucheza michezo 11, nyuma ya vinara wa ligi Young africans ambao wana alama 32 baada ya kucheza michezo 12.
Simba amecheza michezo 11, amepoteza mchezo mmoja, ametoa sare michezo 3 na ameshinda michezo 7
Mtibwa sugar Yupo nafasi ya 14, nafasi ya 3 toka mwisho akiwa amecheza michezo 12
UPDATE
Hali ya uwanja ilivyo kwa sasa ambako mechi itapigwa
Hali ilivyo katika Uwanja wa Manungu mkoani Morogoro hadi saa 6 mchana.
Uwanja huo unategemewa kutumika leo katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Mtibwa Sugar FC dhidi ya Simba SC, saaa 10:00 jioni.
View attachment 2091644
UPDATE
Hadi sasa saa 9 na dakika 05 vikosi bado havijatoka
KIKOSI CHA SIMBA
View attachment 2091704
Mkuu changamoto kubwa hizi timu ndogo wanachelewa sana kutoa vikosi vyao, tofauti na Simba au YangaMara kwa mara, zinapocheza Simba au Yanga na timu zingine, basi tunapoletewa majina ya wachezaji watakao cheza, basi tunaletewa majina yao tu, na majina ya wapinzani wao hatuletewi. Nadhani hii sio sawa. Kwa vile zinacheza timu mbili, basi tuletewe majina ya timu zote, na hasa tukizingatia kuwa, nyuzi za kama huu, sio maalumu kwa ajili ya Simba tu, bali ni maalumu kwa mchezo wa Mtibwa na Simba.
FULL TIME
MTIBWA 2 - 1 SIMBA
Tukutane uwanjani MANUNGU COMPLEX.
Ni mchezaji wa Simba piaKwanini Gadiel kaanza badala ya Hussein?
Kwa vile ni tawi la Mikia hili naona ana uhakika wa kujizolea points 3 kisha wakata miwa wanaingia kwenye mstari wa dangerSijajua Kwanini @Moderators Wameondoa Uzi wa Mwanzo, muwe munaweka na sababu za kuondoa Uzi
NBC Premier League leo Jumamosi. Baada ya kupita miaka zaidi ya 20, leo Mnyama Simba SC anarudi katika dimba la Manungu kucheza na Mtibwa Sugar, huku Kila upande ukitamba kuondoka na alama tatu.
Je ni Mtilwa Sugar au Simba SC kuondoka na alama tatu? majibu utayapata JF.
HEAD TO HEAD
Tokea mwaka 2016 Mtibwa sugar na simba wameshakutana mara 10, simba akishinda michezo 7 na sare 3, mtibwa hajawahi kumfunga Simba Sc tokea Mwaka 2016
UPDATE.
Katika ligi kuu Simba yupo nafasi ya pili akiwa na jumla ya alama 24 baada ya kucheza michezo 11, nyuma ya vinara wa ligi Young africans ambao wana alama 32 baada ya kucheza michezo 12.
Simba amecheza michezo 11, amepoteza mchezo mmoja, ametoa sare michezo 3 na ameshinda michezo 7
Mtibwa sugar Yupo nafasi ya 14, nafasi ya 3 toka mwisho akiwa amecheza michezo 12
UPDATE
Hali ya uwanja ilivyo kwa sasa ambako mechi itapigwa
Hali ilivyo katika Uwanja wa Manungu mkoani Morogoro hadi saa 6 mchana.
Uwanja huo unategemewa kutumika leo katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Mtibwa Sugar FC dhidi ya Simba SC, saaa 10:00 jioni.
View attachment 2091644
UPDATE
Hadi sasa saa 9 na dakika 05 vikosi bado havijatoka
KIKOSI CHA SIMBA
View attachment 2091704
KIKOSI CHA MTIBWA SUGAR
View attachment 2091741
Nina uhakika Simba anakufa leo hii. Kipindi cha kwanza tu anatanguliwa goli 2Simba 4-0 mtibwa
Nae ni mchezaji wa Simba ana haki ya kuchezaKwanini Gadiel kaanza badala ya Hussein?
Tawi lake hilo kule nyuma wachezaji wote wametoka mikiaNina uhakika Simba anakufa leo hii. Kipindi cha kwanza tu anatanguliwa goli 2
Sawa ni tawi mzee baba, hata Coastal mlisema ni TAWI.Tawi lake hilo kule nyuma wachezaji wote wametoka mikia
Kwani nani kasema sio wa Simba sc?Ni mchezaji wa Simba pia
Kwani Coastal wanavaa rangi gani? Nalo ni tawi la Mikia halina ubishiSawa ni tawi mzee baba, hata Coastal mlisema ni TAWI.