Mtibwa Sugar 0-0 Simba SC | Ligi kuu Bara| Manungu Morogoro

Mani mengi yani mpira hata haudundi
 
Hahahaha huyu nani anamzingua onyango?
 
Hii mechi mkitaka kushinda vizuri tumieni vizuri faulo na kona.
 
Morison na chama wako nyuma ya mpira ebu tuone
 
Kipa kaicheza mpira umetoka imekuwa kona
 
Viwanja vya sampuli hii hakuna sababu ya kucheza mpira wa kitabuni, hapa ni kutafuta matokeo tu, piga ndefu tukachezee golini kwao
 
Ngoma droo hii..

Mind the gap..kesho Yanga mapema tu 3points kibindoni.
 
Viwanja vya sampuli hii hakuna sababu ya kucheza mpira wa kitabuni, hapa ni kutafuta matokeo tu, piga ndefu tukachezee golini kwao
Mshukuru tu Mtibwa haina washambuliaji wazuri. Hii mechi na yenyewe mlikuwa mnakwenda na maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…