Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
[emoji102]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazingira ya sasa utaweza kuyafananisha na kipindi cha hizo timu zingine zilivyocheza?Kwani nyinyi ndio timu ya mwanzo kucheza uwanja huo
Teh teh teh leo hii mnamtaja Mungu?nyie si mlikuwa mnamtegemea mungu wenu wa Chato na mkaapa mtachukua ubingwa back to back hadi atakapotoka madarakani.Mikakati ya kupuuzi inauwa soka na ushindani wa kweli TFF popote mlipo jueni Mungu ni wetu sote
Defendini na nyie hip hop unadeka unalalamika nilikuwa nakuona hip hip kumbe zuchuKwa mtibwa ni mzuri kwasababu wao wana defend, ukiangalia hata record yao hawawezi kuhimili mikiki ya simba kwenye pitch iliyotulia
Hata kudraw na kufungwa nayo ni matokeomkakati wa kuhakikisha Simba hapati matokeo
Mzee Mwenzangu Habari Yako Mtani.Hii ngoma ngumu.
Halafu mmefunga magoli mangapi?Dakika 50 simba imeongeza mashambulizi zaidi kwenye lango la mtibwa
Alafu kuna miafrika inaona sawa tu,timu kucheza kwenye kiwanja kibovu.Simba inacheza vizuri ila ndo hivyo uwanja sio rafiki
Maamuzi ya mapema uwa ni mazuri.Pablo amekalia kuti kavu ...
Nasikia akina wanjiru ni matajiri wa maji.Hata kudraw na kufungwa nayo ni matokeo