Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh tehSofar Wachezaji wamecheza vizuri tena kwa kujituma zaidi ila ndo hivyo wanga wamefanikiwa njama zao
Mtasema yoteHili kombe la mapinduzi lina nuksi sana.
Pole, alafu super Mario katupia goal lake la 8Hili kombe la mapinduzi lina nuksi sana.
Sofar Wachezaji wamecheza vizuri tena kwa kujituma zaidi ila ndo hivyo wanga wamefanikiwa njama zao
Kwa Simba yetu hii hata aje acheze Zizou mwenyewe.Pablo si ampigie huyo Zidane best yake, au mnasemaji ndugu zangu!
Haya kacheza sasa sema jingineKwani nani kasema sio wa Simba sc?
Tuachee..Mlivyokuwa mnatambia kutwaa lile Bonanza tulikuwa tunawacheeeki. Hahahaaaaa.
Haya sasa tunasubiri Mufarakane. teh teh.
Hatuwezi kuishi kwa mambo ya mwaka jana. Simba hawezi kuwa bingwaMsihofu hata msimu uliopita Yanga waliongoza baadae Simba akachukua ubingwa alisikika shabiki mmoja wa mnyama. So kuweni subira.
Yanga hua wana anza ligi hivyo wanaongoza baadae tunakuja kuchukua [emoji23][emoji23][emoji23] hii kauli bado ipo?
Hatuwezi kuishi kwa mambo ya mwaka jana. Simba hawezi kuwa bingwa