Mtifuano: Alikiba na Ruby kisa jina la mbwa mpya wa Alikiba

Huyu kiba hajielewi, yaani anaona mwenzake anaitwa ruby na yeye anamuita mbwa wake ruby. Halafu anaulizwa kuhusu msanii ruby yeye anasema ruby ni mbwa wake si dharau hizo!
mnaoponda wote ni team diamond, mambo mengine bhana, aende brela basi akasajili hlo jina lake liwe lake peke yake, teh!
 
kimsingi rubi ni madini, kwahiyo wewe binafsi unaweza ukaona kitu chako au mwanao ana thamani ya rubi ukampa jina hilo, period!

Basi Kiba kaona mbwa wake ni mzuri kama ruby......mi wangu anaitwa tanzanite.......na mwingine copper........ It depends.......
 
Huyu ruby hata yeye si jina lake, ye mwenyewe kachukua jina la madini, atulie tu kila mtu alitumia.
 
Upuuzi mtupu...
 
Hii inanikumbusha jamaa alimwita mbwa wake Jessica baada ya kukataliwa na mdada mwenye jina la Jessica!
Malimwengu!
 
Jirani yangu anaitwa J...na mimi naitwa J lkn sioni noma...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…