Reina princess
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 1,322
- 1,502
Kwani hilo jina la Ruby amelisajili mpaka ajione yeye ndo mmiliki pekee?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu halafu kamelalamika hako na mwishowe kakamwachia Mungu...Mungu haachiwi ana kila kituSijawahi sikia mtu mjinga kama huyo dada anayelalamika...hilo ni jina maalum kwa ajili yake tu?kuna kina ruby wangapi...na kwa nini aone kama kaitwa yeye...
Acheni ushamba wa kijinga.
Mbwa wengi tu wana majina ya wanadamu na haina tatizo lolote.
Mh! NimtihaniKiba sikuhiz sijui anavuta bange
Bado ni upuuzi mtupu..Nadhani wote mmemis point hapa kama pepa wengi mmepata ziro, alikiba aliulizwa na mtangazaji vipi kuhusiana na msanii wa kike ruby , alikiba akajibu rubi anamjua kama mbwa wake mpya, wakati anajua msanii ruby ameimba collabo na mdogo wake na yeye ndo aliwakutanisha
Ni ugonjwa unaenezwa na mbu waumao mchana Aides, mja mzito akipata homa yake anazaa mtoto mwenye kichwa kidogo Sana na taahiraDUH HUO ZIKA NDO UGONJWA GANI?
Hyo condition inaitwa microcephaly. Ni ugonjwa was zamani kidogo ila now days unasambaa kwa haraka sana. Even wizara ya afya imeonya watu juu ya kuenea kwake..Ni ugonjwa unaenezwa na mbu waumao mchana Aides, mja mzito akipata homa yake anazaa mtoto mwenye kichwa kidogo Sana na taahira
Sijawahi sikia mtu mjinga kama huyo dada anayelalamika...hilo ni jina maalum kwa ajili yake tu?kuna kina ruby wangapi...na kwa nini aone kama kaitwa yeye...
Nilimsikia Kiba akisema kuwa jina la mbwa wake linafanana na la msanii mmoja, kisha akacheka kiainaSijawahi sikia mtu mjinga kama huyo dada anayelalamika...hilo ni jina maalum kwa ajili yake tu?kuna kina ruby wangapi...na kwa nini aone kama kaitwa yeye...
Aiss......ila ni vijana ngoja watanianeNilimsikia Kiba akisema kuwa jina la mbwa wake linafanana na la msanii mmoja, kisha akacheka kiaina
Ruby ana nyimbo moja?!ana stress tu huyo demu na nyimbo yake moja
Upo mammy.Jamani kwani Ruby hasa ni nini........?.......maana na huyo binti isijekuwa nae kadhalilisha kitu kujiita Ruby..........
wote wanaofuatilia sanaa wameelewa ulibaki wewe tuRuby ana nyimbo moja?!
Au wewe unafatilia nyimbo za Kiba tu na si mfuatiliaji wa sanaa ya mziki?
Hufai kutoa hata comment kuhusu sanaa
Ameulizwa, unafuga mbwa?Huyu kiba hajielewi, yaani anaona mwenzake anaitwa ruby na yeye anamuita mbwa wake ruby. Halafu anaulizwa kuhusu msanii ruby yeye anasema ruby ni mbwa wake si dharau hizo!