Mtifuano: Alikiba na Ruby kisa jina la mbwa mpya wa Alikiba

Mtifuano: Alikiba na Ruby kisa jina la mbwa mpya wa Alikiba

Sijawahi sikia mtu mjinga kama huyo dada anayelalamika...hilo ni jina maalum kwa ajili yake tu?kuna kina ruby wangapi...na kwa nini aone kama kaitwa yeye...
Duu halafu kamelalamika hako na mwishowe kakamwachia Mungu...Mungu haachiwi ana kila kitu
Acheni ushamba wa kijinga.
Mbwa wengi tu wana majina ya wanadamu na haina tatizo lolote.
 
Nadhani wote mmemis point hapa kama pepa wengi mmepata ziro, alikiba aliulizwa na mtangazaji vipi kuhusiana na msanii wa kike ruby , alikiba akajibu rubi anamjua kama mbwa wake mpya, wakati anajua msanii ruby ameimba collabo na mdogo wake na yeye ndo aliwakutanisha
 
Bado ni upuuzi mtupu..
 
Ni ugonjwa unaenezwa na mbu waumao mchana Aides, mja mzito akipata homa yake anazaa mtoto mwenye kichwa kidogo Sana na taahira
Hyo condition inaitwa microcephaly. Ni ugonjwa was zamani kidogo ila now days unasambaa kwa haraka sana. Even wizara ya afya imeonya watu juu ya kuenea kwake..
 
Huyo Demu vepee, si atulie na jina lake la ubatizo. Ruby ruby my @ss!!
 
Sijawahi sikia mtu mjinga kama huyo dada anayelalamika...hilo ni jina maalum kwa ajili yake tu?kuna kina ruby wangapi...na kwa nini aone kama kaitwa yeye...

Analalamika kwa concept kwamba yeye Ruby tayari ni brand na Ali Kiba nae ni brand pia ambapo anaelekeza mashambulizi ya kushusha brand ya Ruby eidha kwa makusudi au bila kusudi lolote....wapo kwenye same lane and space,chochote watakachofanya either way kina effect kwenye brand zao

By default wale ni competitors na wapo kwenye same business space and lane.....ni simple marketing outlook tu kwamba Ali Kiba kibiashara kamkosea Ruby aidha kwa makusudi au sio makusudi...
 
Sijawahi sikia mtu mjinga kama huyo dada anayelalamika...hilo ni jina maalum kwa ajili yake tu?kuna kina ruby wangapi...na kwa nini aone kama kaitwa yeye...
Nilimsikia Kiba akisema kuwa jina la mbwa wake linafanana na la msanii mmoja, kisha akacheka kiaina
 
Jamani kwani Ruby hasa ni nini........?.......maana na huyo binti isijekuwa nae kadhalilisha kitu kujiita Ruby..........
Upo mammy.
Rubby ni aina ya vito vya thamani.
Pia kuna telenovela moja matata sana ilienda kwa jina la Ruby......
Ile mitoko imekufa kabisa [emoji85] [emoji85]
 
Ruby ana nyimbo moja?!

Au wewe unafatilia nyimbo za Kiba tu na si mfuatiliaji wa sanaa ya mziki?

Hufai kutoa hata comment kuhusu sanaa
wote wanaofuatilia sanaa wameelewa ulibaki wewe tu
 
Watu wana mahaba yaliyopitiliza kwa Ali Kiba.Ukweli ni kuwa jamaa kaongea pumba au vapour.Kilaza sana Kiba sikutegemea kwa star km yule kuongea hayo. Msifiche ukweli
 
Back
Top Bottom