Mtifuano: Alikiba na Ruby kisa jina la mbwa mpya wa Alikiba

Mtifuano: Alikiba na Ruby kisa jina la mbwa mpya wa Alikiba

Ta
Sijawahi sikia mtu mjinga kama huyo dada anayelalamika...hilo ni jina maalum kwa ajili yake tu?kuna kina ruby wangapi...na kwa nini aone kama kaitwa yeye...
Tangu lini binadaam tunashare majina Na mbwa, acheni ushabiki wa kipumbavu, mko tayari kuona mwingine akiumia irimradi jamaa afurahi. Kama sawa mbwa wangu nambadilisha jina kuanzia Leo ataitwa Ally Kiba. Ninavojua kwa wastarabu mijibwa huitwa majina yao ya kijibwa jibwa. Eti umwite mbwa John au Hussen, alafu siku akutembelee Nyumbani mtu mwenye jina Kama hili, alafu umtambulishe hiyo mbwa Ni wajina wako. Au umwite huyo mbwa kwa jina unadhani huyo jamaa hataitika, tufikili kabla ya kuamua, sio kila kitu cha kizungu nini Lulu.
 
Sikuangalia hicho kipindi..malalamiko ya huyu Dada yanaonesha kibakuli aliulizwa unamjua ruby msanii,akajibu ruby ni jibwa langu..Kama sivyo basi huyu Dada yuko na matatizo kwa akili yake!!!
 
Naona rubi kakosa kazi ya kufanya kwani rubi bongo yuko peke yake . ovyo kabisa.
 
Ruby alitumwa waliomtuma wamemponza acha movie iendelee
 
Ally Kiba ameishiwa siku hizi. Akili hazimtoshi.
 
Ta
Tangu lini binadaam tunashare majina Na mbwa, acheni ushabiki wa kipumbavu, mko tayari kuona mwingine akiumia irimradi jamaa afurahi. Kama sawa mbwa wangu nambadilisha jina kuanzia Leo ataitwa Ally Kiba. Ninavojua kwa wastarabu mijibwa huitwa majina yao ya kijibwa jibwa. Eti umwite mbwa John au Hussen, alafu siku akutembelee Nyumbani mtu mwenye jina Kama hili, alafu umtambulishe hiyo mbwa Ni wajina wako. Au umwite huyo mbwa kwa jina unadhani huyo jamaa hataitika, tufikili kabla ya kuamua, sio kila kitu cha kizungu nini Lulu.

umekurupuka, kuna tofauti ya jina Ally Kiba na Rubby. ..Rubby anajinalake halisi, yaaani nikama vile Nasibu Abdul anavyojiita Diamond. ..any one can be diamond or Rubby lakini Ally Kiba anabaki Ally kiba mana ni really name yake. .hata wewe leo unaweza kujiita Copper au Gold
 
Mbwa wa ISCO yule mchezaji wa real madrid anaitwa messi na alipohojiwa kwann alimuita hvyo alisema ni mjanja sana kama LIONEL MESSI wa barcelona awapo uwanjani. Leo messi hajawahi kununa wala kusikika akilalamika. Mnautaka uzungu halaf hamuuwezi c mbaki tu na uswahili wenu!!!! Mxiiiiii
 
Kiba nae pumbavu pia. Sijui ni kwanin hawezi ishi bila kiki za kiseng, alijua kabisa atawin public concern.

Useless.
 
umekurupuka, kuna tofauti ya jina Ally Kiba na Rubby. ..Rubby anajinalake halisi, yaaani nikama vile Nasibu Abdul anavyojiita Diamond. ..any one can be diamond or Rubby lakini Ally Kiba anabaki Ally kiba mana ni really name yake. .hata wewe leo unaweza kujiita Copper au Gold
Nitajie jina la pili Ally Kiba (Nick name) nimwite mbwa wangu. Halafu hili neno kukurupuka wala watu wengi hawajui pa kulitumia, Ally akiwa anajua kabisa jina hili Kuna mtu tena msanii mwenzie wa muziki, akaamua ampe mbwa Na kutangaza ili watu wajue. Angetumia busara akampa jina lingine angepungukiwa nini?
 
Nitajie jina la pili Ally Kiba (Nick name) nimwite mbwa wangu. Halafu hili neno kukurupuka wala watu wengi hawajui pa kulitumia.[/QUOTE

sijawahi sikia nick name yake. ..
 
Mbona mbwa wangu anaitwa gadafi tena nilimpa kwa kumuenzi hayati gadafi
 
Yote kwa yote Mkubwa hata Kama mwanao anapokwaza mtu mwingine, Ni vizuri kumuambia ili arekebishe, kuliko kumpa saportas asioyostahili, Ni kumpotaza.
 
Ali Kiba mbwa wake mpya ameamua kumuita jina la ruby na kupelekea watu wa karibu na kiba na mashabiki zake(teamkiba) kumuita binti na chipukizi wa bongo flave mwenye sauti nzuri Ruby kushindwa kuvumilia matusi hayo, kupitia instagram RUBY ameandika...

Well well well
Kabla ya yote naombeni sana mashabiki zangu, mniwie radhi kwa nnacho kiandikia katika ujumbe huu binafsi mimi sijapendezewa kabisa na alichokisema kaka yangu @officialalikibakwenye kipindi cha @thesporahshow kilichorushwa kupitia @cloudstv kaka yangu alikiba mimi ni mdogo sana kwako si kwa umri wa kimuziki, sikutegemea na sijapendezwa na kauli yako yakunifananisha mimi na MBWA mimi ni binaadam na ni mdogo wako kama alivyo@zabibu92kiba sidhani kama ungeweza kumwita huyo mbwa wako zabibu au abdul, mimi sina ukaribu wowote na wewe lakini kama mtu niliyemkuta kwenye industry na uliyenitangulia kuliona jua na mpaka uliponifwata kuniambia una- appreciate kazi yangu nakuniomba nifanye nyimbo na mdogo wako @officialbdukiba na nikakubali yote hayo yalifanikiwa kutokana na love niliyokuwa nayo kwako kama kaka yangu,hujawahi hata siku moja kunitamkia kwamba unambwa wako anaitwa Ruby, kwa sababu mimi na wewe tumesha kutana nakuongea si chini ya mara moja, hujawahi kusema hilo kwangu, ila umekuwa ukiniambia tu naimba vizurii, je ulisahau nini kaka yangu hadi kushindwa kuniambia muhusika wa jina la mbwa wako mpya,mimi nimeona ni kejeli na dharau kubwa na hazisaidii katika maisha zaidi ni kujishushia heshima yako haipendezi kwa mtu kama wewe ambae pia unaangaliwa na watu wengi kama kioo cha jamii,nategemea kuona mfano mzuri kutoka kwako nikiwa kama mdogo wako lakini umenitia giza machoni @officialalikiba kakaangu kwakweli nimekwazika sana kwasababu mimi ndo kwanza naanza game naanza kazi ya kuendeleza nchi hii na afrika kwa dunia nzima kwenye upande wasanaa ambao wewe umeshaanza muda ,lakini nimestaajabu unanifananisha na mbwa ,cha ajabu zaidi hata watu wako wa karibu @rehemavisuallab @zabibu92kiba hawaitamki wala kuileta katika jamii kwa usahihi wa mbwa kweli ,Naamini Mungu hamtupi mja wake, chozi la mnyonge haliendi bure, Me namuachia Mungu''
Hata hivyo kuzima mtifuano huo alikiba amemuomba msamaha binti huyo kupitia uongozi wake
Ruby ni jina linalopendwa sana na wapenda mbwa, sidhani kama kiba alikusudia mabaya, ninao rafiki zangu wengi wakilitumia kwa mbwa wao kwani nami ni mfugaji na mpenda ma dogs kama uonavyo avatar zangu nyingi za madogs
 
Siku akikutembelea mtu mwenye jina Kama hilo mtambulishe kuwa wajina wako hiyo, alafu muonyeshe hiyo mbwa.
Hapo ni uchokozi sasa,je kama ana tabia za Ruby siitakuwa bifu,labda asikie kwa watoto
 
Back
Top Bottom