Mtifuano: Alikiba na Ruby kisa jina la mbwa mpya wa Alikiba

Jamani kwani Ruby hasa ni nini........?.......maana na huyo binti isijekuwa nae kadhalilisha kitu kujiita Ruby..........


Jiwe (madini) yenye thamani rangi yake nyekundu
 
Simple like this

Na wewe rubby mpe mbwa wako jina la alikiba paka wako miute abdukiba mendemende wote kwako hapo waite jokate
Sijategemea kucheka ila mkuu umeniweza,hahahaaaaa
 
Majina siku hizi yana hati miliki?
Mbona mijibwa chungu nzima inaitwa Tom hatujasikia wenye jina wakilalamika
With all due respect young lady it's just misunderstanding Kiba hawezi kukutukana intensionaly
Mimi mwenyewe jibwa langu dume moja linaitwa kiba na jingine chibu, hayapatani kabisa

Afu jike linaitwa kidoti.. Na likidoti limezaa vijibwa 6 juzi usiku.. Sijui Ni vya kiba au chibu.
 
Naona wengi wanachangia humu kishabiki na hawajaelewa Ruby alicho kisema na hii ni kutokana na kusoma taarifa juu juu kama unakimbizwa

Ruby analalamika kitendo cha alikiba kuulizwa kuhusu Msanii Ruby na yeye kujibu Ruby ni Mbwa wake kanakwamba Alikiba hamfahamu Msanii anaeitwa Ruby......Akati anamemfuata kuomba mdogo wake wafanye naye collabo!

Na sio ruby analalamika jina lake kupewa mbwa au mnyama mwingine yeyote

Afu nashangaa hicho kipindi kimekosana watu wa kuwahoji mbona wana mrudia sana kiba?
 
Alikiba angekuwa amefanya kama mlivyo sema asingehangaika kumuomba msamaha Ruby.......kajua kuwa kazngua
 

Attachments

  • 1454278124794.jpg
    39.4 KB · Views: 55
Watu Waache Kuipotosha Jamii Na Kukuza Mambo.Na Waache Kumfidi Ujinga Huyu Demu.Kingkiba Yuko Sahihi Kabisa Na Wala Hana Sababu Ya Kuomba Radhi.Coz Alichoulizwa Kiba Ni "Unamjua Ruby?"(General Question) Na Sio "Unamjua Msanii Anaitwa Ruby?"(Specific Question).Swali Aliloulizwa Kiba Ni General Kwhy A, B, C, D, E.....Na Kuendelea Yote Yangekua Ni Majibu Sahihi Kwake.Inategemea Na Utashi Wa Muulizwa Swali.Hata Kama Angekua Na Mwalimu Wake Wa Shule Ya Msingi Anaeitwa Ruby Angeweza Kujibu "Ndio Ruby Mi Mwalimu Wangu Wa Shule Ya Msingi".Swali Lilikua General Na Halikumbana Kujibu Kuhusu Ruby Msanii Kama Watu Walivyotegemea.Na Wala Kiba Halazimiki Kufanya Hivo.Coz Swali Lilimpa Nafasi Ya Kurefer Chochote.Na Istoshe Kumwita Mbwa Wake Ruby Sio Kitu Cha Ajabu.Kwhy Huyo Demu Awe Mpole Tu.Hata Kama Alitamani Watu Wajue Kama Na Yeye Anafahamika Na The Kingkiba"the Greatest"
 
Ally kiba kajaribu soka, mbinu ya mabifu kwenye mziki wako imefail
 
Sijawahi sikia mtu mjinga kama huyo dada anayelalamika...hilo ni jina maalum kwa ajili yake tu?kuna kina ruby wangapi...na kwa nini aone kama kaitwa yeye...
Hahhaah hapo Sasa....me nyau wangu anaitwa 'mushka' mwenywe jina lake nae alalamike
 
Ruby kwanza ni aina fulani ya game stones na isitoshe huyo demu hiyo ruby ni nickname tuu, after all kuna ubaya gani jina likifanana? That girl need self education
 
Inategemeana na kiba ametamka hio ruby katika context gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…