rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,032
- 18,540
Jamani kwani Ruby hasa ni nini........?.......maana na huyo binti isijekuwa nae kadhalilisha kitu kujiita Ruby..........
Jiwe (madini) yenye thamani rangi yake nyekundu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani kwani Ruby hasa ni nini........?.......maana na huyo binti isijekuwa nae kadhalilisha kitu kujiita Ruby..........
Atakuwa amekunyima papuchi wewe si bureyaani niwe hater kwa haka kabinti kenye wimbo mmoja tena wakipuuzi..ukweli mchungu ni kwamba hakana kipaji..kaganga njaa tu
Sijategemea kucheka ila mkuu umeniweza,hahahaaaaaSimple like this
Na wewe rubby mpe mbwa wako jina la alikiba paka wako miute abdukiba mendemende wote kwako hapo waite jokate
Mimi mwenyewe jibwa langu dume moja linaitwa kiba na jingine chibu, hayapatani kabisaMajina siku hizi yana hati miliki?
Mbona mijibwa chungu nzima inaitwa Tom hatujasikia wenye jina wakilalamika
With all due respect young lady it's just misunderstanding Kiba hawezi kukutukana intensionaly
mmekula lakini,na mnajiandaa vipi kuhusu keshoKiba anatakiwa awe makini kwenye interview
Hahhaah hapo Sasa....me nyau wangu anaitwa 'mushka' mwenywe jina lake nae alalamikeSijawahi sikia mtu mjinga kama huyo dada anayelalamika...hilo ni jina maalum kwa ajili yake tu?kuna kina ruby wangapi...na kwa nini aone kama kaitwa yeye...
Teh Teh nilisikia alitaka kusajiliwa na Simba!Ally kiba kajaribu soka, mbinu ya mabifu kwenye mziki wako imefail
Jamani kwani Ruby hasa ni nini........?.......maana na huyo binti isijekuwa nae kadhalilisha kitu kujiita Ruby..........
Alikiba ni mjinga sana...anapenda ugomvi!
Hongera angalia tu usiku kitandani asije akakufanya vibayamimi paka wangu nimemuita Mshana Jr. Analifurahia jina lake jipya balaaa
Labda asajiliwe kazi yake iwe kuokota mipira ikitoka nje ya uwanja anarudishaTeh Teh nilisikia alitaka kusajiliwa na Simba!