Abtali Mwerevu
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 796
- 707
Mwalimu Makoba Open School inawakaribisha kufanya mitihani ya kujipima na mtihani wenu wa mwisho wa kidato cha nne, Sita na QT
Hakuna gharama yoyote katika mitihani hii.
Mambo Yaliyopo:
Utafanya mtihani
Utasahihishwa
Utafanyiwa masahihisho na kuelekezwa namna bora ya kujibu mtihani wako.
Tunapatikana:
Kinondoni, Mtaa wa Kambangwa. (Kama umepanda gari, shuka Komakoma, au Kinondoni Manyanya: mwendokasi shuka Mwanamboka.)
Wasiliana Nasi: 0653 250 566