johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe umeshalala hapo bandani kwa Mdee!Popoma wa ccm ebu nenda ulale au bado ujahama kwa shemeji yako Bashiru hapo ubungo.
Ebu jibu swali umehama hapo ubungo kwa bashiru au bado? Usilete vioja kwenye swali langu.Wewe umeshalala hapo bandani kwa Mdee!
Nipo kwa Joyce Mkya!Ebu jibu swali umehama hapo ubungo kwa bashiru au bado? Usilete vioja kwenye swali langu.
Swali ni je na yeye alishawahi kufanya hivyoCAG mstaafu mh Uttoh amezitaka kamati za bunge za PAC na LAAC kuwa strategic zinapoenda kukagua taasisi za serikali badala ya kujiendea tu kimazoea.
Uttoh amesema ni vema bunge likatembelea taasisi zenye hati chafu na zile ambazo CAG ameshindwa kutoa hati ( disclaimer) au zile ambazo CAG hakuzikagua kabisa.
Utaratibu wa kukimbilia taasisi zenye hati safi hauna tija kabisa, amesisitiza CAG mstaafu
Source: ITV
My take; PAC ianze na TTCL, NHIF, Muhimbili nk nk mkakague hesabu!
Ramadhan Kareem.
Yeye hakuwahi kuwa mbunge!Swali ni je na yeye alishawahi kufanya hivyo
Au anakua anasakazia tu sasa hv kwakua yeye hayuko uko tena
Viongozi wakishatoka madarakani vichwa ndo viaanza kufanya kazi sawasawa
CCM wanatumia mfumo unaitwa Unyumbu (herding behaviour) mfumo ambao tunaodhani wanauwezo mzuri huko gorofani ,huacha kutumia akili zao kwa muda wanapokuwa kwenye madaraka 'an occurrence of thoughtful people suspending their individual reasoning because of fear, in this case fearing Self-Absorbed group or their leadersSwali ni je na yeye alishawahi kufanya hivyo
Au anakua anasakazia tu sasa hv kwakua yeye hayuko uko tena
Viongozi wakishatoka madarakani vichwa ndo viaanza kufanya kazi sawasawa