Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Nyie mbumbumbu hebu punguzeni utitiri wa nyuzi kila mnapofungwa.
Yaani nyie mkifungwa tu ndio timu inakua na mapungufu. Mkiwa mnajiandaa na mechi mnasifia kikosi chenu, mkipigwa timu mbovu.
Jifunzeni kuwakea wachezaji hata wakishinda, miquison alifunga kagoli basi misifa ikaanza kummiminikia, mkifungwa hata mchezaji ajitoe vipi hakuoni mchangi wake.
DM wa Aina Ile sijawahi kumuona labda mseme ni B2B.Babacar Sarr simuelewi na nadhani hii Simba ina kitu cha hovyo kwa viongozi si bure.
Kama mwalimu ndio kataka mchezaji kama yule,na tukadanganywa kwa kuletewa eti kapigwa picha anamkaba Ronaldo!!!Basi kweli sisi ni mbumbumbu.
Na bora hatujatwaa kombe maana zingekuja sifa za kijinga sana kwa akina onana na huyo jamaa.
Naona chura mmeamka baada ya mvua kunyesha 😁players kama Dar Young African players.
Wachezaji 14 hawakuwepo yangaAlianzisha Uzi ni aliefungwa 3-1 na APR. Anahangaika kuchochea migogoro huku timu yake ili
furushwa robo fainali.
Kikosi cha Yanga ni Team C
Nyie full mkebe
Acha ukiazi use your mind well
Angekuwq pacome
Aziz k
Diarra
Musondq
Etc etc kuna angepita mtu?
Tumia tu akili kidogo
Hawa ni kuwaacha tu ndugu waendelee kujifariji. Watu ambao huwa hawapendi ukweli waache tu, muda utasema.Kikosi cha Yanga ni Team C
Nyie full mkebe
Acha ukiazi use your mind well
Angekuwq pacome
Aziz k
Diarra
Musondq
Etc etc kuna angepita mtu?
Tumia tu akili kidogo
Yanga ya Gamond 😁Tulikuwa kwa kikosi gani ?
Simba haina fomesheni, haichezi kitimu, wanaruka ruka tu, kila mchezaji anacheza kivyake!Ukweli ni kuwa simba haina quality players.
Hadi chezaji la airport?Phiri, Baleke, Ntibazonkiza, Babacar, Ngoma, Chama, na Miquison hawa wote hawana viwango vya kuitumikia simba. Hawana tena soka la ushindani.
mbona galasa onana hujalitaja?Phiri, Baleke, Ntibazonkiza, Babacar, Ngoma, Chama, na Miquison hawa wote hawana viwango vya kuitumikia simba. Hawana tena soka la ushindani.
Nimesikia msemaji wa Simba akisema kuwa Sarr ni chaguo la kocha mwenyewe.
Hongera robo fainali fc angalao mmekuwa na kuwa nusu fainali fc🤪.Hii ni kumbukumbu, itaishi.
Nadhani Simba SC guvu moja mmeshaona mnakikosi cha aina gani.
mmefika kwenye penalt box za mlandege 45 times ndani ya kumi na nane and still hamna mlichozaa dah , SSC !!
hii ni ishara kuwa hamna safu ya ushambuliaji na hamna striker machachari.
Kumbukeni pia SSC ipo loaded, wachezaji wake wote , ni mtihani mkubwa !
Je ni nini tatizo la SSC?
Mo Dewji na uwekezaji wake ni tatizo ?
Viongozi wa timu ni tatizo ?
Wachezaji ni tatizo ?
Kamati ya Usajili ni tatizo !?
Kama kuna mshabiki mwenzangu wa SSC , aliyemuelewa huyu Sarr aniambie !
Sajili za kufanya promo kwenye social media bila uwezo binafsi,, mmmh Sinba SC ,!!!!
Narudia Tena SSC mmejaza wazee kwenye uongozi mnatakiwa kuwa na young and fresh blood kwenye CEOs na nafasi nyingine.
Sarr mmepigwa, na mtaendelea kupigwa
Nadhan wachezaji wa SSC wanahitaji pschychological treatment ili kudevelop courage na morally ya players kama Dar Young African players.
Mmeibania Singida bure, singida angepita, am sure wangechukua kombe
Congratulations Mla-ndege for the good work , umetupunguzia kelele hapa mjini. Yule Chinga angefumua sana domo lake.
Ahh kumbe familia [emoji13]
Kipi kikufanye uone kuwa sio chaguo la kocha sababu ya kiwango duni au ni kipi? Au una uthibitisho kuwa kocha hakumuhitaji?Sio chaguo la kocha
Ni chaguo la magungu wasimzushie kocha
Halaf huyu Ahmed ali anaongea sana utasema kama jinga fulan hivi, anaongea kama vile ni ndugu wa watu wa pop Fransis. Huwa anamaneno mengi sana
Anaongea sana Hadi huwa ana haribu, anaandika magazeti kudanganya mashabiki
Shida hawa watu sio creative Kazi ya usemaji wala haihitaji porojo zao, wao kazi yao ni ku communicate official things basi, ila kazi wanayofanya wao pamoja na kale kambaumbau ketu yule kijana mzee ni uhamasishaji, na sio usemaji wa klabu
Kutembea na mavuvuzela ni kusumbua watu mtaani na kupigia watu kelele, mwenyewe anaona ni creativity [emoji2099]
shida wanatembea kwa style aliyofanya manara but ukiangalia msemaji wa klabu kubwa hakuna anaefanya hu ujinga wao
Mwaka jana kumbukumbu muhimu ilikuwa Simba 1 Yanga 5. Bila shaka mwaka huu unaanza na kumbukumbu ya kona dhidi ya Singida, penalty ya Kagere na Simba kubadili jina la MlaNDEGE kuwa MlaSIMBAHii ni kumbukumbu, itaishi.